Barcelona na Real Madrid wanajiandaa kumenyena katika nusu ya fainali ya Spanish Super Cup ndani ya dimba la King Fahd Stadium ambapo mshindi wa leo atakutana na kati ya Athletic Bilbao au Atletico Madrid ambao watamenyana siku ya Alhamisi na fainali itakuwa Jumapili.
Hii inakuwa El Classico ya kwanza mwaka huu 2022 wakati pia inakuwa El Classico ya kwanza kuchezwa nchini Saudi Arabia.
Taarifa ya Timu
Beki wa Barcelona Eric Garcia yupo nje baada ya kupata jeraha kwenye mchezo wa Wikendi ambapo atalazimika kukaa nje ya dimba kwa wiki mpaka tano.
Sergi Roberto na Martin Braithwaite bado wanaendelea kupona lakini Pedri na Ferran Torres watacheza pembeni ya Frenkie de Jong, Ronald Araujo na Ansu Fati.
Gavi Ataendelea kucheza kwenye michuano hii kwani kadi nyekundu alionyeshwa inamzuia kucheza mechi za LaLiga, na Clement Lenglet atakuwa tayari kuchukua nafasi ya Garcia katikati mwa mabeki wa pembeni.
Kwa upande wa Real Madrid, Carlo Ancelotti amethibitisha kwamba Mariano Diaz na Gareth Bale ndio pekee ambao hawapo katika mchezo wa nusu fainali, huku Dani Carvajal na Luka Jovic wakiwa fiti na wanakaribia kucheza.
Carvajal anaweza kurejea moja kwa moja ndani ya kikosi juu ya Lucas Vazquez iwapo ataonekana kuwa fiti vya kutosha, huku safu ya nyuma ya Ancelotti ikisalia bila kubadilika.
Kiosi cha Barcelona Kinachoweza Kuanza: Ter Stegen; Dest, Pique, Lenglet, Alba; Gonzalez, Busquets, Gavi; Dembele, De Jong, Depay
Kikosi cha Real Madrid Kinachoweza Kuanza: Courtois; Carvajal, Militao, Alaba, Mendy; Kroos, Casemiro, Modric; Asensio, Benzema, Vinicius Jr
ZIFUATE ODDS BOMBA ZA MECHI HII
Barcelona kuibuka na ushindi (1) Odds 3.62
Mchezo kuisha kwa suluhu (X) Odds 3.62
Timu zote zifunge kipindi cha kwanza (IGG) Odds 4.20
BASHIRI MECHI HII NA NYINGINE NYINGI
Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

CHEZA HAPA

