Wachezaji wa QPR Wasimama na Osayi-Samuel.

Wachezaji wa QPR wamejitokeza kumuunga mkono mchezaji mwenzao Bright Osayi-Samuel ambaye alifanyiwa unyanyasaji mtandaoni baada ya mchezo wa Jumanne dhidi ya Norwich.

Nahodha wa klabu Geoff Cameron alitoa taarifa fupi katika tovuti rasmi ya kilabu akiunga mkono Osayi-Samuel, ambaye aliangazia unyanyasaji “wa kuchukiza na uchungu”, ambao baadhi yake ulikuwa wa kibaguzi.

Wachezaji wa QPR Wasimama na Osayi-Samuel.

Cameron alisema: “Kwa pamoja tunasimama na mwenzetu, Bright Osayi-Samuel.

Nahodha wa QPR Geoff Cameron ametoa taarifa kwa niaba ya kikosi kumuunga mkono Bright.

“Kupitia imani na matendo yetu kama klabu, timu na watu binafsi, hatuwezi kabisa kuvumilia ubaguzi wa rangi kwa njia yoyote. Kamili kabisa.

“Kilichotokea ni cha kuchukiza na ni matumaini yetu kwamba mtu huyu atawajibika. Sisi kama klabu tumekuwa mstari wa mbele kupigana dhidi ya ubaguzi wa rangi na kuunga mkono usawa kwa wote. Hii itaendelea kuwa msimamo wetu.”

Mchezaji huyo wa miaka 22 alifunga penati dakika za majeruhi kisha akakosa nafasi nyingine katika sare ya 1-1 katika dimba la Carrow Road.


VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?

SOMA ZAIDI

14 Komentara

    Umoja ni nguvu

    Jibu

    Safi hiko ndicho kinachotakiwa katika timu

    Jibu

    Safiii sana

    Jibu

    Ubaguz unatakiwa ukomeshwe

    Jibu

    Kunatakiwa kuwe na msimamo ili heshima irud

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Sio kitu poa

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Wanaonyesha mfano mzuri kwa wachezaji wengine

    Jibu

    Duh ni balaa

    Jibu

    Kitu kizuri kuwa naushirikiano

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Dhuuu ataliii

    Jibu

    Mazito

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.