Wijnaldum: Kinachoendelea Siyo Nilichotarajia

Georginio Wijnaldum alifanya uhamisho wa kutoka Liverpool na kujiunga na Paris Saint-Germain kama mchezaji huru wakati wa dirisha la usajili lililopita lakini kabla ya kujiunga na PSG alikuwa tayari amepewa ofa na klabu ya Barcelona wakati akielekea Camp Nou alipokea ofa nyingine ambayo ilikuwa nono hivyo akabadili gia angani na kuelekea jijini Paris ambako alisaini dili na klabu hiyo ya Ligue 1.

Wijnaldum: Kinachoendelea Siyo Nilichotarajia
Georginio Wijnaldum

Sasa kiungo huyo wa Uholanzi ameanza kujutia uamuzi wake wa kwenda PSG baada ya kuchezeshwa muda mchache tangu ajiunge na wababe hao wa Ufaransa.

Akiongea kuelekea mchezo wa kimataifa na timu ya Netherland dhidi ya Gibraltar siku ya Jumatatu, Wijnaldum alitoa maelezo jinsi gani alivyotaka kupiga hatua zaidi baada ya kuihama Liverpool.

“Siwezi kusema kwamba ninafuraha iliyokamilika hali haipo kama vile nilivyokuwa nikitarajia lakini huu ni mpira wa miguu.” Wijnaldum aliiambia NOS.

“Nilikuwa nikicheza sana hapo nyuma, nilikuwa sawa kwa hiyo hiki ni kitu cha tofauti ni ngumu sana kwangu, lakini mimi ni mpambanaji inanibidi niwe chanya na kucheza kwa bidii kubadilisha hali hii, nimejifunza jinsi ya kushughulika na hili.


PIGA MKWANJA NA LA ROUGE

Fanya wiki yako iwe ya kuvutia zaidi, tunaelekea Los Angeles kutengeneza mkwanja na kasino maridhawa ya LA Rouge kutoka katika kasino za mtandaoni za meridianbettz, Fursa ya kufurahi huku unajaza pochi yako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.