Miamba ya Jangwani Yanga FC imesema ya kuwa Winga wao Carlos Carlinho pamoja na beki Yassin Mustapha wameondoka kikosini kwa sababu ya majeraha na kwa hivyo watakosa mpambano kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. 

Wakati huo huo, uongozi wa timu hiyo ya Yanga umethibitisha kurudi kwa wachezaji wao waliokuwa majeruhi kwa kipindi.

yanga, YANGA: Wawili Watoka, Wawili Waingia., Meridianbet

Uongozi wa Yanga umeweka wazi kwamba nyota wao wawili wamerejea kikosini kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya wekundu wa Msimbazi Simba.

Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa maandalizi pamoja na mipango inakwenda vizuri hivyo mashabiki wasiwe na wasiwasi kila kitu kitakuwa sawa.
YangaWachezaji waliokuwa majeruhi tayari wamerejea.  Dickson Job pamoja na Abdalah Shaibu, ‘Ninja’ walikuwa na maumivu ila kwa sasa wanaendelea vizuri na wamerejea.

Kuhusu maandalizi kiujumla yanaendelea vizuri hivyo mashabiki wasiwe na mashaka tupo tayari kwa ajili ya mchezo wetu dhidi ya watani wetu wa jadi ambao ni Simba,” amesema Bumbuli.


TENGENEZA FAIDA KUPITIA MCHEZO WA TITAN DICE UKIWA NA MERIDIANBET KASINO

Unapokuwa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, huna sababu ya kucheza kwa mashaka. Titan Dice, ni mchezo unaweza kukupatia mamilioni kwa mzunguko mmoja!

yanga, YANGA: Wawili Watoka, Wawili Waingia., Meridianbet

SOMA ZAIDI

12 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa