Bondia wa Tanzania, Cosmas Cheka, ameshinda pambano dhidi ya Mmalawi, Hannock Phiri, lililofanyika Uwanja wa Jamhuri, Morogoro, usiku wa kuamkia leo Septemba 14, 2020.
Mabondia hao walipigana kwa uzito wa Light kuwania UBO International Title ambapo pambano hilo lilikuwa la round 12.

Kwa uamuzi wa majaji, ameonekana kushinda japo mpinzani wake ameonekana kutokubaliana na uamuzi huo wa kupoteza pigano hilo.
Mbali na hayo, Cheka amesema kuwa kama mpinzani wake hajaridhika, arudie pambano na kwamba yeye yuko tayari kumfuata Malawi.

Katika mapambano ya utangulizi, Mwanadada Zulfa Macho, mtoto wa Yusuph Macho alishinda kwa knock-out kwenye raundi ya kwanza kwenye pambano dhidi ya Mmalawi, Ndau Chilimba.
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.


Ernest
Tanzania tunazidi peperusha Bendera kwenye upande wa MASUMBWI, Pongezi kwa wanamasumbwi wetu pongezi kwa Cheka
Theonestina
Pongezi ziende kwa cheka
Janeflora malisa
Vzr
Fatina
Pongezi kwako
farida ahmadi
Hongera Sana
Elika
Hongera kwako cheka
Hidaya
Cheka baba lao
Adelta
Cheka Yuko vizuri@meridianbettz
Lydia Emmanuel Magoti
Namkubali Sana mpambanaji huyo yupo vizuri kwenye ngumi Jana kumchapa mtu
felister
pongezi kwake
Caroline
Hongera Sana cheka.keep it up
Hopemwaikuka
Cheka kiboko kabsa
Zeiyana
Cheka alipotea sana nafasi aliyokua nayo hassani mwakinyo ndio angekua nayo cheka kama asingepotea kwenye gemu kipindi kile
Tatu
Pongezi kwake
Shani
Masumbwi tupo vizuri sana tanzania
Rose kapinga
Kazi nzuri umefanya pongezi kwake!!!
Rehema
Pongezi kwao
Amiri Kayera
Pambano lilikua kali
aisha
Ngumi jiwe cheka kapeperusha bendera
Khadija
Ngumi jiwe cheka waonyeshe wakuelewe kama sio mtu wa mchezo mchezo#meridianbettz
Issa
Cheka kaonyesha uwezo mkubwa kwenye pambano hilo
Gabriel
Cheka alipigwa sana
Mariam mtandama
Vizur
Sabrina
Hongera sn
Tumaini kasalile
Hongera sana cosmas kwakupeperusha bendera
Saupha mohamed
Pongezi kwake
Theckla
Hongela Sana cheka
Genia Sikaluzwe
Pongezi kwake
Emmy cleopa
Pongezi kwake
Dorophina
Wabongo wapo vizuri sana kwenye mpambano wa ngumi ndio inavyotakiwa kujiamini
Sauda
Cheka yupo vizuri sana
Nasra
Nice
magdalena
safi sana cheka pongezi kwako
Angelina
Pongezi mwa Cheka
Neema
Hongera yake
Flomena
Hongera kwake
Salma ngende
Pongenzi kwao
Janeflora malisa
Hngr zake
jullie
hongera zake
Povel
Congrat CHEKA🤝🤝🤝
Mwajumah
Hongera yake cheka
Tahiya
Amerud vyema
David Pere
Tanzania tunazidi peperusha Bendera kwenye upande wa MASUMBWI, Pongezi kwa wanamasumbwi wetu pongezi kwa Cheka