Koulibaly amekuwa akihusishwa na kuhamia katika klabu ya Manchester City, wakati Roma wanaripotiwa kuwa mstari wa mbele katika mbio za kuwania saini ya Milik.
Akiongea siku ya Jumatano, De Laurentiis alisema kuwa wawili hao wataondoka Napoli kama vilabu vitaweka dau zuri.
“Koulibaly na Milik wote wanaondoka, kwa ruhusu ya soko,” aliiambia Canale 21.
“Kwa hiyo, kama soko likiwaruhusu wachezaji hawa wenye vipaji vikubwa kuondoka, tutajua jinsi gani tupate mbadala wao.
“Vinginevyo, tutawaongela mwaka ujao.”
Koulibaly, mwenye umri wa miaka 29 amekuwa ni moja ya mabeki bora wa kati Ulaya tangu atue Napoli akitokea Genk mwaka 2014.
Mchezaji huyo wa kimataifa kutoka Senegal anamkataba mpaka mwaka 2023, lakini amekuwa akihisishwa kuhamia City kwa dau la (€65m) sawa na £57.7m
Wakati huohuo Milik ametumia misimu minne akiwa Napoli na kutupia wavuni mabao 14 katika michezo 35 kwenye mashindano yote mwaka 2019-20.
“Lakini kwa namna fulani kijana hataki kusikia chochote zaidi alitaka kwenda Milan.”
SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.


magdalena
kijana nenda penye donge nono maana mkwanja ndo mpango mzima
Sauda
Wapo kimaslahi zaidi
Ernest
Milik akitua Roma itakuwa bonge la usajili na atawasaidia sana Roma
Rehema
Hii ni habari njema
felister
kikubwa angalia nini moyo wako unataka
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri Sana kwalicho kiongea wao wanaangalia pesa tuu kwao wakiona semu inawavutia napesa nayo hipo vizuri wanachapa lapa tuu
Adelta
Habari nzuri kwake
@meridianbettz
Nasra
Habari njema
Hilda
Vizur
Fatina mfingi
Ni habar njema
Mwanahamisi
Habari njema
Mwajumah
Habari njema#Meridianbettz
rama
safii kabisa nenda mahali dau litakuwa nono
Dorophina
Wote wakienda millan itakuwa poa sana
Shani
Masilahi muhimu
Sabrina
Hapo mchawi pesa tu angalia masirahi
Johnmary joel
Unapata wewe nenda ilimradi tu timu isonge mbele#meridianbett
aisha
Team zinashindwa kumnunua kwa pesa nying sababu ya umli wake umeend
Furahav
Hatari sana.
Caroline
Kikosi cha man city kimekua hot
Khadija
Pesa ndio mpango mzima#meridianbettz
Hidaya
Kama dau litaruhusu waende tu wakaangalie upepo
Tatu
Pesa ndio mpango mzima
Povel
Wachezaj muhimu Sana ndani ya fc Napoli kuwatoa lazima ujiapange
Saupha mohamed
Habari njema
Frank P
Kwa Kulibally Napoli wachukue hela tu miaka 29 na height yake ile kasi inaenda kupungua watajilaumu
Amiri Kayera
Team zinashindw kueka mizg kutokan na umli wa calidou kuwa mkubwa
Agness
Huo Ni uamuzi wao
Theonestina
Habari njema
Rose kapinga
Pesa ndio kila kitu!!!
Genia Sikaluzwe
Mambo yote yanawezena kukiwa na pesa
Shafii
Napoli wana tamaa koulibaly ni beki wa kawaida Sana.
Ester jackson
Good news
farida ahmadi
Maamuzi ni yao
Samiah
Uwamuzi niwao
Hope mwaikuka
Gud
Sadick
Kama Koulibaly ataondoka Napoli ina maana Gattuso atakuwa na kazi kubwa kuirejesha top ili hatimaye icheze Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu wa 2021/2022. Mmiliki wa Napoli amekuwa akizungumuzia sana hili kutokana ukata unaoikumba Klabu kwa sasa#meridianbettz
Gabriel
Milik akitua Roma itakuwa bonge la usajili na atawasaidia sana Roma
warda
Mambo ya pesa tu