Donny van de Beek tayari anajihisi Manchester United ni kama nyumbani baada ya kumaliza uhamisho wake kutoka Ajax siku ya Jumatano.
Kiungo huyo wa uholanzi amejiunga na United kwa dili yenye thamani inayofika £39.1m, na amesaini mkataba wa miaka mitano na kipengele kinacho mruhusu afikishe miaka sita.
Van de Beek ametumia kipindi cha utoto wake akiwa na klabu ya Ajax lakini anafurahi atakutana na wachezaji wenzake katika dimba la Old Trafford baada ya kukaribishwa vyema klabuni hapo.
Aliweka posti katika ukurasa wake wa Twitter siku ya Alhamisi:“Nina furaha kuwa mchezaji mpya wa United #MUFC family.

“Shauku ya muitikio wenu kwenye kutangazwa kwangu umefanya nijihisi tayari nipo nyumbani, siwezi kusubiri kuungana na timu jijini Manchester.
“Lakini kwanza… sasa naangalia katika maandalizi ya michezo inayokuja katika mashindano ya Nations League na kikosi cha timu ya taifa.
Wakala wa Van de Beek, Sjaak Swart, alisema United ilikuwa ni moja ya klabu kati ya vilabu sita vilivyo kuwa vinawania saini ya kiungo huyo mwenye umri wa miaka 23, vilabu hivyo ni Real Madrid,Barcelona,Juventus, na Arsenal.
Swart amesema janga la virusi vya Corona limeathiri soko la kiungo huyo lakini aliongea na Ajax Showtime: “Manchester United hakika ni chaguo sahihi.
“Wamekuwa wakishinda ubingwa na kwa sasa wanataka kutengeneza jambo hilo kwa mara nyingine.”
SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.


Sabrina
Inapendeza sana Donny van de Beek kuipenda timu yake mpyaa iliaweze kufanya vizuri.
Rehema
Asante meridianbet kwa taarifa
Johnmary joel
Safi sanaa van#meridianbett
magdalena
united wamepata kiungo mzuri sana maajabu yake tulikuwa tunayaona pale ajax
Dorophina
Ni mda sasa van de beek kuitumikia man u ipasavyo mashabiki tunakukaribisha ni vizuri itendee haki man u
aisha
Ni usajir mzur san huu man u wamefanya
Mwajumah
Safi sana van#Meridianbettz
Furahav
Karibu sana man u.
Rehema Dickson
Karibu chama la wana (mashetan wekundu)
Adelta
Vizuri sana can.karibu may
@meridianbettz
Shani
Donny van maneno matamu sana tutakua nawe pega kwa pega umahiri wako sasa!
Ernest
Usajili wa Donny van de Beek unatufanya tusahau habari za Sancho kwa kasi sana
Lydia Emmanuel Magoti
Man U wamepata kiungo mahili Sana anajituma Sana dogo
Fatina mfigi
Ni mchezaji mzuri san man U wanapata jemba!!
Caroline
Naona alikua anaipenda man United Van de Beek..ndo maana amefurahi Sana alivokamilisha usajili wake
rama
karibu chama la wana
Mwanahamisi
Safi sana van
felister
Van de Beek hakika umefanya chaguo sahihi karibu red devil
MnonganeJR
Karibu nyumbNi fundi wa mpira van de been nategemea utafanya makubwa pale old Trafford
Khadija
Karibu sana chama la wana#meridianbettz
Hidaya
Kwa meridianbet kwa taharifa hii
Povel
Nice update
Frank P
Man U wameongeza changamoto pale kati kati ni jambo zuri kila mmoja akapigania namba morali kwa mchezaji inapanda
Saupha mohamed
Karibu chama kubwaa
Fatuma kasomo
Safi
Agness
Vizuri inapendeza
Amiri Kayera
Kali attacking midfielder
Theonestina
Habari njema
Rose kapinga
Ni vizur kukubal mazingira itakufanya uwe huru na kazi yako!!!
Genia Sikaluzwe
Habari njema
Shafii
Wana man u wanasubili kuona kazi nzuri kutoka kwake.
Ester jackson
Hongera sana
farida ahmadi
Inapendeza Sana van de beek
Samiah
Van safi sanaaa
Hope mwaikuka
Vzur
Sadick
Man U ina viungo wengi sijui Van De Beek atacheza nafasi gani? Sijui Ole atachezesha mfumo gani wote wafit! Tusubiri kuona hapo anaposema nyumbani itakuwaje!#meridianbettz
Gabriel
Ni usajir mzur san huu man u wamefanya
warda
Safi sana