Southgate: Sancho Hana Sifa ya Kuwa Kwenye Kikosi cha Uingereza

Mkufunzi mkuu watimu ya taifa ya Uingereza Southgate, amekubali kuwa Jadon Sancho amemwita kwenye kikosi cha Uingereza katika michezo ya kimataifa japokuwa hana sifa ya kuchezea timu hiyo kwa sasa.

Jadon Sancho mwenye umri wa miaka 21 bado anajitahidi kuonyesha thamani yake kwenye timu yake ya Manchester United ambayo ilitumia kiasi kikubwa kumsajiri kutokea Borussia Dortumund majira ya kiangazi.

southgate
southgate

Sancho mpaka sasa ameichezea Manchester United michezo nane huku akishindwa kufunga hata goli moja wala kusaidia kupatikana goli katika michuano yote mpaka sasa.

Sancho alikuwa na msimu mzuri akiwa na Burussia Dortmund ambapo kwenye michezo 38 aliweza kufunga magoli 16 na kusaidia kupatikana mengine 18 katika michuano yote Bundersliga, klabu bingwa ulaya na DFB-Pokal.

Southgate bado amemwita Sancho kwenye kikosi chake cha wachezaji 23 watakaocheza mechi za kufuzu kombe la Dunia dhidi ya Andorra na hungary.


SPACE SPIN NA MERIDIANBET.

Ni Mabingwa pekee Meridianbet wanakupa nafasi ya kushinda zaidi na mchezo wa Space Spin katika kasino bomba za meridianbet. Ni wakati wa kufurahia na kutengeza mkwanja bila kuwaza.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe