Ayoub Lyanga, kiungo mshambuliaji mwenye mabao nane na pasi nane alipokuwa ndani ya Coastal Union leo Agosti 2 amesaini kandarasi ya miaka miwili kuitumikia timu hiyo.
Lyanga amefanyiwa vipimo mapema leo na kuonekana yupo fiti jambo ambalo limewafanya Azam FC wampe dili la miaka miwili.

Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit amesema kuwa wamekamilisha usajili kwa mapendekezo ya Kocha Mkuu, Aristica Cioaba.
“Tumekamilisha usajili wa Lyanga kwa mkataba wa miaka miwili, bado kazi imeanza kwani huyu ni nyota wa tatu kwetu kutambulishwa.
![]()
“Hesabu zetu ni kuona kwama timu inakuwa imara zaidi na kuleta ushindani kwa msimu ujao, kikubwa mashabiki waendelee kutupa sapoti,” amesema.
Tiketi yako ya kwanza kamwe haiwezi kupoteza ukiwa na Meridianbet. Unarudishiwa 100% ya Tiketi yako ya kwanza.


Omary lukumbi
Hongera Azam fc kwa usajili wa lyanga
Magdalena
Kiungo mzuri acha adondoshe tu sahihi hawatojuta kumsajili
Adelta
Mashabiki tupo tunazidi kuwaombea
Mpate mafanikio makubwa
@ meridianbettz
Mwajumah
Azam fc wamefanya Jambo zuri sana kumsajili lyanga#Meridianbettz
aisha
Lyanga ni mchezaji mzuri sana kila la kheri kaka
felister
kiungo mshambuliaji
Dorophina
Kiungo yupo vizuri azam wamepata mtu wa kuwasaidia
Shafii
Wana lamba lamba wanasubili mambo mazuri kutoka kwake.
Issa
Hongera kwa kumtwaa jembe
Khadija
Safi sana kijana kwa tulitumikia soka#meridianbettz
Devotha
Kila la heri ukaipende kazi yako
Rehema
Kila la kheri
Lydia Emmanuel Magoti
Ongera Azam kwakusajiri kifaa
Ester jackson
Azamu fc hapo mmepata mchezaji hodari
MnonganeJR
Fundi wa mpira#meridianbettz
Ernest
Usajili Tanzania Bara umepamba moto sijui wakina nani watalamba dume kwenye usajili
Sadick
Nafurahi usajiri wa Yanga na Azam unalenga zaidi wazawa hivyo tutafanya timu yetu ya Taifa kupata wachezaji mahiri#meridianbettz
Furahav
Muda wa wachezaji kupiga pesa.
Sabrina
Hongera Lyanga
Janeflora malisa
Ni vzr
Saupha mohamed
Usaji mzurii
jullie
Kila la kheri
Hope mwaikuka
Haya tunasubr tuwaone sio mnasajil tu alaf matokeo sifur
Genia Sikaluzwe
Usaji mzuri sana huu
Theonestina
Hongera yake
Amiri Kayera
Usajir mzur
Fatuma kasomo
Kila la kheri
Leonard
Ni jambo zuri club kusajili kwa matakwa ya kocha
Zeiyana
Usajiri mzuri kwa azam kazi kwake sasa lyanga kuwafanyia mambo mazuri wana lamba lamba hao.
David Pere
Masihi hapo kwanini asisaini mkataba mpya ili aendelee kupata pesa nzuri
Neema juma
Hongera kwake
Angelina
Kila kheri
Salma ngende
Jembe ilo
Gabriel
Habar njema
Caroline
Lyanga usiwaangushe Azam
warda
Bora huyu Aliyeenda Azam#Meridianbettz