UEFA imeomba imeomba radhi mashabiki wa klabu za Real Madrid na Liverpool na pia watazamaji wengine ambao walisumbuliwa na kupata bugudha kwenye mchezo wa fainali uliofanyika jumamosi iliyopita jijini Paris.

UEFA wameomba radhi ni siku sita tu baada ya kulaumiwa kwa kuchelewesha mchezo wa fainali kuanza kwenye dimba la Stade de France.

UEFA

Shirikisho hilo la mpira wamiguu barani Ulaya linadai kuwa polisi wa Ufaranza walitumia mabomu ya machozi kuwatawanya mashabiki ambao walizuia mlango wa kuingia uwamjani kutokana na uwepo wa tiketi maelfu ya bandia.

UEFA walitoa waraka ambao leo Ijumaa ulisomeka, “UEFA inaomba radhi kwa mashabiki wotr ambao walikumbwa na kadhia au kushuhudia kutishwa na kuhuzunishwa kwenye mchezo wa fainali ya lilgi ya mabingwa ulaya kwenye uwanja wa Stade de France tarehe 28 may 2022 jijini Paris, usiku, ambapo tulipaswa kusherekea usiku wa ulaya.

“Hakuna mshabiki ambao walitaka kuwa kwenye kadhia ile, na haita jirudia tena.

“Mapitioa yatahusisha UEFA na wanashika dau wake wote, wakiwemo, lakini sio kwa ukomo, vikundi vya mashabiki barani ulaya, pia klabu mbili zilizocheza siku ya fainali, mashabiki kwa ujumla, shirikisho la mpira wa miguu ufaransa, polisi na mamlaka nyingine na serikali za mitaa na waendeshaji wa uwanja.

“Majibu ya mapitio, hitimiaho na mapendekezo ndio yatakayotoa  taarifa kwa kina na itaongozwa na  Dr. Tiago Brandão Rodrigues na atasaidiana na watalaamu wengine ambao watamsaidia. Mapitio yataanza haraka iwezekanavyo na inapaswa kukamilikia kwa kipindi kifupi itakavyowezekana kulingana na muda atakaopewa ili kuweza kutoa ufahamu wa tukio hilo.”


SHINDA SAMSUNG A32 NA AVIATOR

SHINDA Samsung A32 ukiwa na mchezo wa Aviator kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet! Kwea pipa ukusanye zawadi zako pamoja na ushindi mnono wa mkwanja!

kasa wa njano, Kasa wa Njano Awapa Ubingwa wa CL Liverpool., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa