Arsenal ni miongoni mwa vilabu ambavyo vinasemekana kuwa vinavutiwa na kiungo wa Real Madrid Isco, ambaye ameshindwa kuwa kwenye kiwango kizuri Bernabeu msimu huu.
Juventus, AC Milan, Sevilla na Everton ni vilabu vilivyoonesha nia ya kuinasa saini ya mchezaji huyo, ambapo mchezaji huyo anaweza kuungana tena na kocha wa zamani wa Real Carlo Ancelotti anaye ifundisha timu ya Everton.

Vyanzo vya habari za kimichezo nchini Spain vimeandika kwamba Isco amegundua kuwa anaweza kuhitaji kuhamia ili acheze zaidi na angeondoka Madrid wakati dirisha la uhamisho la Januari ikiwa kuna fursa nzuri.
Ingawa Isco hayupo katika kiwango kizuri msimu huu, Arsenal wanapenda kuona kama fursa ya kuleta mchezaji mwenye ubora uliothibitishwa kufuatia mwanzo mbaya wao wa msimu.
Washika Mitutu wamekwama katika nafasi ya 15 kwenye jedwali la Ligi Kuu, wakiwa na alama tano juu ya eneo la kushuka daraja, na wamepoteza zaidi ya nusu ya mechi zao za ligi msimu huu.
Eneo la kiungo limekuwa nafasi ya shida kwa meneja Mikel Arteta, ambaye alifanya usajili wa majira ya joto kwa Thomas Partey ambaye amekuwa akipambana na majeraha.
BURUDIKA NA WANYAMAPORI WAKIIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYA MUZIKI!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, furahia mchezo wa Forest Rock. Hapa utaburudika na umahiri wa wanyapori wanaoimba na kutumia vifaa vya muziki wa rock. Burudika huku ukijiwekea nafasi ya kutengeneza pesa ndefu kupitia Meridianbet!!



Issa
Safi
Rahma
Saf
Adelta
Ni Jambo jema
Asia Abdy
Fundi huyo
felister
sio mbaya
Janeflora malisa
Safi
lombo
vzr
Lydia Emmanuel Magoti
Sio mbaya vizuri
Saupha mohamed
Safii
Shakila mrope
Good New wachangamkie fulsa
Caroline
Asante kwa taarifa
Amiri Kayera
Safii
Ally mohamedi ally
Safi
Dorophina
Isco akienda arsenal itakuwa poa sana
Hopemwaikuka
Mwenye kisu kikali ndo atakula nyama
warda
Ukiwa unahitajika hivi kila sehemu hazi yako inazidi kupanda juu
Tatu
Jambo zuri
samiah
Jambo zuri