Bayern Munich wamekamilisha usajili wa beki wa kulia wa Ajax na Morocco, Noussair Mazraoui kwa uhamisho huru. Mazraoui, 24, amesaini mkataba wa miaka minne hadi 30 Juni 2026, na ataungana na wachezaji wenzake wapya kwa ajili ya mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya Julai.

Mazraoui lijiunga na akademi ya Ajax mwaka 2013 na alicheza mechi yake ya kwanza na kikosi cha wakubwa mwaka 2018  na amecheza mechi 137 kwenye michuano yote akifunga mabao 10 vilevile amefunga bao 1 katika michezo 12 na timu ya taifa.

“Mazraoui ndiye beki anayefuata tunapoendelea kuimarisha timu yetu kwa njia inayolengwa,” Mtendaji Mkuu wa Bayern Oliver Kahn alisema. “Tuna malengo makubwa tena kwa msimu mpya.”


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa