Lyon imepokea kipigo cha kwanza dhidi ya mahasimu wao Paris Saint-Germain siku ya Ijumaa katika Division 1 Feminine ndani ya miaka minne.
Lyon ya wanawake ilicheza mechi zaidi ya 80 bila kupoteza ambazo 75 walishinda na nyingine walikwenda sare lakini PSG imevunja rekodi hiyo baada ya kuichabanga Lyon kwa 1-0.
Tangu mwaka 2016 Lyon haikuwahi kuonja ladha ya kipigo huku wakifanikiwa kutwa ubingwa mara 14 lakini wamefungwa na PSG sasa.
Paris Saint-Germain wamefanya vizuri tena katika dimba la Parc des Princes, ambako Marie-Antoinette Katoto alifunga goli pekee na la ushindi.
Wakiwa wamepata matokeo hayo Paris Saint-Germain wamepanda mpaka nafasi ya kwanza alama moja mbele ya mabingwa mara saba wa Ulaya na mabingwa watetezi wa Champions League Lyon katika michezo tisa msimu huu.
Hauhitaji kuwaza linapokuja suala la ubashiri na odds kubwa. Bashiri na Meridianbet ukiwa popote ufurahie ushindi mkubwa katika michezo mbalimbali na hadi milioni 16 kwenye michezo ya kasino.



Angelina
Safi
magdalena
hongera sna kwao kazi nzuri wameifanya
zeiyana
hongera sana vijana kwa kazi kubwa waliyoifanya
Lydia Emmanuel Magoti
Hongera yao wamefanya kazi nzuri
Adelta
Hongera kwa wanawake wa PSG
👍👍👏👏
Rahma
Safi
Caroline
Lyon poleni sana
Fatina mfingi
Safii
Povel
Psg women hakika walikuwah bora kwny mchezo wa jana
Sauda
Wanastahili pongez
Hopemwaikuka
Wamefanya kaz nzur hongera zao
aisha
Kazi wameifanya
Latifa juma mohamed
Hongera zao.
Saupha mohamed
Safi
Ester jackson
Hongera zao
felister
safi
Elika
Safi sana
Sania
Wanawake motooo
Tatu
Safi
warda
Ila Timu za wanawake wanachezaga sana