lazio - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Tetesi za soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Manchester City wametakiwa kuweka mezani kitita cha pauni milioni 65 kwa ajili ya beki wa Napoli Kalidou Koulibaly ,29, ambaye anauhishwa na taarifa za kuhamia Liverpool na Manchester …

Ronaldo Ang’ara Juve akikabwa Koo.

Daily News

Cristiano Ronaldo amefunga penati mbili wakati Juventus akilazimisha suluhu dhidi ya Atalanta na kuendelea kuongoza kw atofauti ya Alama nane baada ya Lazio kupoteza katika mechi yake. Wageni Atalanta walimiliki …

Juventus vs Atalanta, Uchambuzi na Vikosi

Daily News

Juventus vs Atalanta Juventus watakuwa wamejizatiti kujipindua kutoka kwenye kichapo ‘hevi’ wakichokipokea dhidi ya Milan. Watahitaji kuendelea kuongoza kwa kuongeza tofauti ya pointi kwenye 7 walizonazo kileleni kwenye Serie A. …

PSG Wamgeukia Haaland

Bundesliga

Paris Saint-Germain wameanza harakati za kumnasa mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Erling Haaland kuelekea dirsha kubwa la Uhamisho kulingana na Foot Mercato. Klabu hiyo ya Ufaransa inamtaka mshambuliaji huyo wa kimataifa …

Serie A Inarejea kwa Kishindo

Daily News

Vilabu vya Serie A vitacheza mechi mbili kwa wiki kwa mechi zilizosalia pale Ligi itakaporejea Juni 20. Kutakuwa na mechi karibu kila siku Ligi itakaporejea mpaka siku ya mwisho Agosti …

Tetesi za Usajili

Bundesliga

Manchester City wapo tayari kumpa mkataba mpya straika wa Brazili, Gabriel Jesus wenye thamani ya £120,000-kwa wiki ili kumvutia asalie klabuni baada ya Juventus kuonyesha nia ya kumhitaji huduma yake. …

1 2 3 14 15 16 17 18 19