lazio - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Tetesi za Usajili

Bundesliga

Tottenham na Manchester United wanachuana za kuwania saini ya beki wa kulia wa  Paris St-Germain na Ubeligiji, Thomas Meunier, 28. Manchester United wanafikiria mbadala wa David de Gea, japo golikipa huyo …

Klose Kocha Msaidizi Bayern Munich

Bundesliga

Mfungaji anayeongoza kwa wakati wote wa Ujerumani, Miroslav Klose ameteuliwa kuwa Kocha msaidizi wa Mabingwa wa Ujerumani, Bayern Munich kwa msimu ujao. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 41 amekuwa …

Tetesi za Usajili.

Bundesliga

Newcastle wapo tayari kutumia £70m kumnasa kiungo wa Barcelona Philippe Coutinho kama klabu itakubali kumruhusu nyota huyo auzwe, Mbrazili huyo kwasasa yupo kwa Mkopo Bayern Munich. Matajiri wa Newcastle pia …

Agnelli Alivyokomaa na Gigi!

Champions League

Raisi wa Juventus, Andrea Agnelli anadaiwa kuwa ndiye alisisitiza kubaki kwa golikipa Gianluigi Buffon ‘Gigi” pale Allianz Stadium. “Tunataka uendelee kuwa mmoja wetu” -Andrea Agnelli Golikipa huyu mwenye miaka 42 …

Wanamichezo na Dini

Champions League

Imani na dini ni kitu ambacho kipo nafsini mwa mtu mwenyewe, na hakuna mtu anayeweza kumlazimisha mwingine afanye kitu kingine bila hiari yake. Katika soka pia haya mambo yapo; mchezaji …

Utamu Umerudi Tena!

Champions League

Miaka ya nyuma kidogo katika mchezo wa kabumbu au soka ligi ya huko Italia mambo yalikuwa murua kweli kweli. Yalikuwa matamu si mchezo, kuanzia enzi za Maradona, Baggio, Batistuta hadi …

Gattuso Kurejea Tena Milan

Football

Taarifa zinabamba kuwa aliyekuwa Gennaro Gattuso anatarajiwa kurejea klabuni AC Milan kama klabu hiyo itaamua kumtimua Marco Giampaolo. Gattuso amekuwa akipewa kipaumbele kama mtu mwenye nafasi kubwa kuchukua kibarua cha …

Conte Aendeleza Rekodi

Champions League

Inaonekana sasa tatizo limepata msuluhishaji ndani ya kikosi cha Inter Milan baada ya kuwa na misimu kadhaa isiyokuwa na mvuto kabisa ndani kikosi hicho chenye historia kubwa sana ndani ya …

Yaliyojiri Europa…

Champions League

KWENYE michuano ya ligi ndogo ya mabingwa [UEFA Europa] kila timu ilikuwa ikiwinda bafasi ya pekee sana ili kuweza kupata alama ambazo zitaisaidia kuweza kukua na kufanya vizuri kwenye michezo …

Makundi ya Europa

Daily News

Baada ya kupangwa kwa makundi ya klabu bingwa huko Monaco kulikaliwa pia mwendelezo wa kupanga makundi mengine ya Europa ambapo kila klabu ilijua nani wa kukutana naye kwenye kinyang’anyiro hicho …

Tetesi za Usajili

Daily News

Inter Milan wanaonekana kuwa vizuri upande wa sokoni msimu huu wakiwa na nia kubwa sana ya kusajili wakongwe ambao wanajua ramani nzima ya soka. Klabu hiyo kwa sasa inamuwinda raia …

Dondoo za Usajili Leo

Champions League

Hapa tunakuletea dondoo kadhaa za usajili jumapili hii tarehe 26 Mei 2019. Meneja wa Chelsea, Maurizio Sarri amekubali kuwa meneja anayefuata wa Juventus. Kwa mujibu wa chanzo cha Italia, meneja …

Waziba Nafasi ya Pogba

Champions League

KUMEKUWA na stori za Paul Pogba juu maisha yake katika kikosi cha Ole Gunnar kutokana na taarifa zinazofukuta kikosini hapo kuhusu mahitaji ya nyota huyo na aina za klabu zinazotumia …

Wanamichezo na Dini

Football

Imani ni kitu ambacho kipo nafsini mwa mtu mwenyewe, na hakuna mtu anayeweza kumlazimisha mwingine afanye kitu kingine bila hiari yake. Katika soka pia haya mambo yapo; mchezaji anayeamini katika …

Piatek na Dili la Barca

Football

Mchezaji mshambulizi wa klabu ya soka ya Genoa, Krzysztof Piatek anajua kwamba klabu pinzani ya Barcelona inahitaji kumsajili ila kumezuka fununu kwamba klabu ya Manchester City, Tottenham Hotspur na Liverpool …

Everton: Cheki Magoli ya Louis Saha

Football

Aliyewahi kuwa nyota wa Everton, Louis Saha alikuwa ni mmaliziaji hatari sana! Mpira ukifika kwake hachelewi kucheka na nyavu! Everton bila shaka walijivunia Nyota huyu.  Legendari huyu wa soka kwa …

1 2 3 15 16 17 18 19