lazio - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

AC Milan Kuwashtaki Mashabiki wa Lazio.

Daily News

Klabu ya AC Milan wanafikiria kupeleka malalamiko FIGC kuhusu tuhuma za kibaguzi zilizofanywa kwa kiungo Tiemoue Bakayoko kutoka kwa mashabiki wa Lazio.   Ripoti kutoka Calciomercato.com, Baada ya dakika 15 …

Pepe Reina Kutimba Lazio

Daily News

Golikipa wa AC Milan Pepe Reina ameripotiwa tayari ameshafika Lazio kwa ajili ya vipimo vya afya. Klabu ya Lazio walichapisha picha kwenye akaunti yao ya Twitter kuonesha nyota huyu Mhispania …

Lazio Kumnyakua Silva Bure

Champions League

Lazio wanakaribia kukamilisha usajili wa mkongwe wa Manchester City, David Silva mara tu mkataba wake na klabu hiyo yq nchini England utakapomalizika, kwa mujibu wa ripoti huko Italia – Mchezaji …

Wesley Hoedt Ajutia Kusepa Lazio

Football

Nyota wa Southampton anayekipiga kwa mkopo klabu ya Ubelgiji ya Antwerp, Wesley Hoedt anajutia uhamisho wako kutoka Lazio kwenda Southamopton na kusema kuwa suala hilo lilifanyika kimakosa. Hoedt alitumia misimu …

Mashabiki wa Lazio Watangaza Mgomo

Football

Kuelekea debi kali kabisa Italia kati ya Lazio na mahasimu wao Roma, mashabiki wa Lazio wametangaza mgomo kushinikiza klabu kuchukulia uzito suala la kuuwawa kwa shabiki wao. Taarifa zilizobamba katika …

1 2 3 4 5 6 17 18 19