Ofa ya PSG 60m kwa Milinkovic-Savic

Paris Saint-Germain wametoa ofa yao ya kwanza ya € 60m kwa Lazio kumnasa kiungo wao wa kati Sergej Milinkovic-Savic, –kwa   mujibu wa ripoti nchini Ufaransa.

Kuvutiwa kwao na mchezaji huyu MSerbia haijawa siri na imekuwa hivyo kwa miaka kadhaa sasa, Hata hivyo klabu hii haipo peke yake, wengine ni pamoja na Juventus, Inter na Manchester United.

Lazio hadi sasa wamekataa ofa zote kumuuza nyota wao, lakini kwa mujibu wa le10sport.com –PSG wanajaribu tena na ofa mpya ya € 60m.

 Ofa ya PSG 60m kwa Milinkovic-Savic
PSG 60m Kumnasa Milinkovic-Savic

Kuna uwezekano mkubwa wa kukataliwa, haswa kutokana na uhalisia kuwa Lazio wako katika hatua ya kufuzu Ligi ya Mabingwa na bado wapo wanapambana kwenye mbio za kuwania taji la Serie A.

Ripoti ya Ufaransa inafikirisha pia, ripoti hii inaamini ada ya € 70m inaweza kuwa na uwezo wa kufanya maujanja kuinasa saini.

Rais wa Lazio Claudio Lotito hapo awali alijigamba kwa kuweza kukataa aofa ya € 100m kwa ajili ya uhamisho wa Milinkovic-Savic, lakini janga la corona na karantini vimeharibu mambo kwa kuathiri pia soko la uhamisho wa kimataifa.


 

Bundesliga Leo BETI HAPA

Bundesliga Leo BETI HAPA

44 Komentara

    Goodnews

    Jibu

    Watampata tumaana Sasa hivi baadhi ya timu uchumi umeshuka sanaa na ukiangalia PSG pesa wanayo

    Jibu

    Kuna uwezekano mkubwa wa kukataliwa, kutokana Lazio wako katika hatua ya kufuzu Ligi ya Mabingwa#meridianbettz

    Jibu

    Mchezaji huyu ni kivutio kwa klub nyingi kutokana na umahili wake

    Jibu

    Kiungo huyo n mzur na ukiangalia kuna tetesi kuwa mbappe anaweza kwenda Madrid hivyo savic atasaidia sana

    Jibu

    PSG waendelee kukaza wachukue chuma hicho

    Jibu

    Naona Timu nyingi zinamtaka atakuwa mkali #Meridianbettz

    Jibu

    Kiungo huyo ni mzuri sana lakin sijuwi kama lazio watakubali kumuachi coz wako kwenye hatua ya kufuzu

    Jibu

    Ahsante kwa habar

    Jibu

    n jambo zuri kwa kipind hiki ambacho corona inapunguza kasi ndo mda mzur kwa virabu kujipanga na kufanya sajili

    Jibu

    Milinkovic changamkia mkwanja huo

    Jibu

    Nyota yake inawaka kijana

    Jibu

    Lazio bado wapo wanapambana kwenye mbio za kuwania taji la Serie A.awawezi kupokea ofa #meridianbettz

    Jibu

    Fundi wa mpira ..akija man utd atafiti kwenye mfumo#meridianbettz

    Jibu

    Ni mchezaji mzuri akienda Spurs kwa stail ya uchezaj wake atafit vzr sana

    Jibu

    Kama psg watamchukua huyu jamaa hii timu itakuwa vizuri sana,mana jamaa yuko vizuri.

    Jibu

    Watakuwa wamepata bonge la mchezaji kama watampata

    Jibu

    Offer mzur sana hyo angalie na maslay ya Tim yake kwanza

    Jibu

    psg hawajaweka offer nzuri hasa kipindi hiki cha ukata na corana lazio hawana budi kumuza

    Jibu

    PSG waendelee kukaza wachukue chuma hicho

    Jibu

    Iyo inaitwa pesa madafu

    Jibu

    Kijana yupo vizuri anajua Kama PSG watamtaka wakaze but wamchukue tuu

    Jibu

    Mi naona nibora Lazio waendelee kukataa kumuuza uyo mchezaji

    Jibu

    Huyu jamaa ni mchezaji mzuri pcg hawawezi kumuachia

    Jibu

    cha msingi yeye aangalie tu wapi anapapenda na ambako atapata faida nako, kwa sasa ni pesa kwanza alafu ushabiki baadae

    Jibu

    Habari njema#meridianbettz

    Jibu

    Good news #meridian

    Jibu

    Watakuwa wamepata bonge la mchezaji Kama watampa

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Hiyo ofa wasiiache kwa kweli

    Jibu

    Ni fund mzuri sn wa mpira tena bonge la mchezaji

    Jibu

    Dah! Ofa kubwa iyo

    Jibu

    Nyota yake inawaka

    Jibu

    Money talk Psg

    Jibu

    aangalie tu wapi anapapenda na ambako atapata faida nako, kwa sasa ni pesa kwanza alafu ushabiki baadae

    Jibu

    Watakua wamepata bonge la mchezaji mzuri

    Jibu

    Nice update #meridianbettz

    Jibu

    Pesa huongea sana kwenye mpira ila better akabaki tu Napoli ademand ongezeko tu la mpunga akitoka ataenda kupotea tu

    Jibu

    Milinkovic savic ni mfano wa kuigwa na wachezaji wengine.

    Jibu

    ofa baab kubwa

    Jibu

    Ni mchezaji mzur wakifanikiwa kumnasa

    Jibu

    Dau nono sana wanaweza wakamnasa

    Jibu

    Jamaaa mwamba sana

    Jibu

    Gud newz

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.