Wakala wa Emerson: 'Hakuna mawasiliano na Juventus'

Kwa mujibu wa wakala wake, Emerson Palmieri anafurahia sana maisha pale Chelsea na hakuna mawasiliano yoyote yaliyofanyika na na vilabu vingine. Wakala huyu ameyasema haya kufuatia uvumi wa uhamisho wake kwenda Juventus.

Beki huyu tayari amefanya kazi na Maurizio Sarri pale Stamford Bridge na amekuwa akihusishwa na uhamisho wa kumfuata ‘Bianconeri’ kwa muda, awali uhamisho ukitajwa ulikwamishwa na majeraha.

Wakala wa Emerson: 'Hakuna mawasiliano na Juventus'
Emerson Palmieri: Chelsea

“Emerson anafurahia sana pale Chelsea, anaishi vizuri na wachezaji wenzake na kocha,” wakala Fernando Garcia alikiambia chanzo cha habari cha TuttoJuve.com.

“Hadi leo, sijafanya mawasiliano yoyote na vilabu vingine. Ni kweli kwamba Juventus ilipendezwa wakati akiwa bado akiichezea Roma, lakini huo ulikuwa ni msimu kabla ya kuhamia Chelsea.

Garcia anasisitiza kuwa mteja wake anafurahia sana mahali alipo, anafurahia kuwepo katika moja ya ligi kubwa zaidi ulimwenguni. Pia anasema kuwa hakuna anayejua kesho, huenda nyota huyu akarejea Italia siku za mbeleni au la!


 

Ndondi Kali Leo BETI HAPA

Ndondi Kali Leo BETI HAPA

40 Komentara

    Wakala wake yuko sahihi lakin itabid pia afuate maamuz ya mchezaji

    Jibu

    Chelsea anapata mkwanja mzuri ndo maana ataki kuangaika na mawasiliano ya kwingine

    Jibu

    Asante kwa habari

    Jibu

    Ahsante meridian kwa taarifa

    Jibu

    Juventus ilipendezwa wakati akiwa bado akiichezea Roma

    Jibu

    Emerson inabidi atulie pale chelsea chini ya boss lampard watafanya kazi nzuri

    Jibu

    Thnks meridian kwa update za michezo

    Jibu

    Haoni haja ya kuama ama ikiwa mpira ndio huo huo na hanayecheza ni yeye hata akienda wapi?..!

    Jibu

    Afanye maamuzi sahihi.#meridianbettz

    Jibu

    Angehitaji kumuuza angelitafuta mawasiliano na Juventus

    Jibu

    Timu nying asahv zinasajil Sana kwahy angalie sehem ambayo anaweza kupata wakumchezesha ambao wanaendana

    Jibu

    Wakala amsikilize kwanza mchezaji anataka nini

    Jibu

    Kwenda Itália tena.sidhani

    Jibu

    Kiukweli kama anaishi vizur na wenzie haina umuhimu wa kuama.muacheni aendelee kuitumikia chelsea

    Jibu

    Atafute mawaailiano afanye biashara kabla hajachuja

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Hafanye mahamuzi sahii

    Jibu

    mara nyingi mtu hua anapenda kukifanya anachokipenda, inaonyesha kabisa kwamba Emerson bado anamapenzi na chelsea

    Jibu

    dah mpira n kaz kwa sas so asibweteke

    Jibu

    Asante kwa makala#meridianbettz

    Jibu

    Abaki chelsea tu panamtosha

    Jibu

    Kaz kwake c mashabik tu

    Jibu

    Wakala wake hataki aondoke au? maana uenda Emerson anatamani kuondoka

    Jibu

    Basi asikilizwe anachohitaji

    Jibu

    Hayo ni makubaliano yake kubaki Chelsea au kuondoka mana bado usajili unaendelewa ila hata akibaki Chelsea bado tutabaki kuwa mashabiki wake tu

    Jibu

    Juve nao kila mchezaji wanahusishwa nae msimu huu na wachezaji wazuri wanao

    Jibu

    Afanye uamuzi wake mwenyewe. Atakachoona ni sahihi kwake

    Jibu

    Emerson ni mchezaji mzuri nadhani bado anahitaji muda na nafasi ya kucheza Ndani ya club ya Chelsea

    Jibu

    huo ni uamuzi wake kukubali kuondoka au kubaki

    Jibu

    Wakala afate vile mchezaji mwenyewe anataka sio wakala kuwaamulia wachezaji na kupelekwa mahali hata kama hataki.

    Jibu

    Ahsante kwa habari

    Jibu

    Yuko sahihi

    Jibu

    Aamue yeye pa kwenda

    Jibu

    Ni vizuri akitulia sehemu 1

    Jibu

    Habaki darajani apambanie namba

    Jibu

    Wakala amsikilize kwanza mchezaji anata nn

    Jibu

    Tumewapata#Meridianbettz

    Jibu

    Aondoke tu. Angekuwa wazi kwamba anafurahia kupata mshahara. Kila anapopata nafasi ya kucheza hafanyi lolote la maana #meridianbettz

    Jibu

    Atulie tu kwakweli

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.