Roger Federer ametangazwa kua mcheza tennis ananelipwa zaidi Duniani, na kumzidi mwanasoka nguli mwenye asili ya Argentina na mchezaji wa klabu ya Barcelona Lionel Messi
Federer mwenye miaka 38, ametajwa kuingiza zaidi ya Pauni milioni 86.2 kwa mwaka huu pekee ukilinganisha na pauni milioni 81 kwa mwaka jana zilizotokana na malipo ya ubalozi wa makampuni mbali mbali.

Cristiano Ronaldo ameingiza Pauni milioni 85 wakati mshindani na mpinzani wake mkubwa Messi ameingiza kiasi cha pauni milioni 84 akifuatiwa na Neymar ambe ameingfiza pauni milioni 77.5, Kwa upande wa michezo mingine Mchezaji wa mpira wa kikapu Lebron James ameingiza Pauni milioni 71.5 na kukamilisha Idadi ya tano Bora.

Wakati Federer akiongoza List ya wanamichezo wote duniani na yeye akitokea kwenye mchezo wa Tennis, mwana dada mwenye asili ya Japan Naomi Osaka ametangazwa kua nsie mcheza Teniss wa kike ambae ameingiza Pesa nyingi zaidi na kuchukua nafasi ya 29 kwa wanamichezo kiujumla.
“Korona imesababisha kukatwa kwa mishahara kwa baadhi ya wachezaji Hususan Ronaldo na Messi hali iliyopelekea Federer kuwavuka miamba hiyo ya soka duniani na kushika usukani wa list hiyo” Amezungumza muhariri mkuu wa chapisho la Forbes
ameongezea kwa kusema “Roger federer amekua na wakati mzuri zaidi baada ya makampuni makubwa na kumuongezea thamani kwa kulipwa zaidi ya Dola za kimarekani milioni 100 kwa mwaka”
Wiki mbili zilizopita mshindi wa Grand Slam Naomi Osaka mwenye miaka 22 aliimaliza safari ya Serena William kwa kuongoza mara nne mfurulizo kwa kupata zaidi ya Pauni milioni 30.7 na kumzidi Serena Pauni milioni 1.5.


Caroline
Watu na nyota zao
Mwajuma
Kweli kajutahidi sanaa mpaka katika hapo
David pere
Duuh amewazidi mpaka kina Ronaldo hongera kwake
aisha
Hongera kwa federer
Zeiyana
Kajitaidi sana hanaitaji pongezi
Hamidu
Cr7 najua kutengeneza pesa#meridianbettz
Genia Sikaluzwe
Anajuwa kutafta pesa Sana
mwakalosi
Roger Federer huyu kwa mara ya kwanza namfahamu ilikuwa kwenye tamgazo la gillette tokea hapo ndipo nilipoanza kumfuatilia
Aziza mushi
Makala nzuri .amejitahidi sana
Magdalena
Federer ni mahili Sana katika m mchezo wa tennis anastahili malipo makubwa sana #meridianbet
Amani
Roger federer amekua na wakati mzuri zaidi baada ya makampuni makubwa na kumuongezea thamani kwa kulipwa zaidi ya Dola za kimarekani milioni 100 kwa mwaka kwaiyo akicheza bure ili kusaidia janga la Corona #meridianbettz
Povel
Hongera kwake thnks kwa update za michezo
Gabriel
Duuh!kumbe tennis nayo inalipa kiasi hicho wenzetu wanathamin sana michezo
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri anajua kuitafu pesa anajua kwakweri
Theonestina
Hongera zake Roger Federer kwa kipaji alichojaaliwa
mathayo sonje
aisee sasa inaonesha tenisi ndio inafanya vizuri katika michezo duniani
Furahav
Hongera sasa dada,michezo ni kitu muhimu sasa inaleta afya kuwa poa.
Swai
Federer nimechezaji mzuri sana wa teness mwenye nguvu zake za mikono anastahili kwakuwa na hizo pesa na kuwashinda hao wote
Lombo
habar njema tenes au michezo imekuwa kaz kama kaz nyingne
Neema hassan
Pongezi kwake#meridianbettz
Mwanaidi
Anahitaji pongezi kweli amejitahidi sana
Evaluziga
Du kumbe tenes inalipa hongere Sana dada
Devotha
Roger Federer hongera sana
Adelta
Amejitahidi Sana Roger
Rehema Dickson
baada ya makampuni makubwa na kumuongezea thamani kwa kulipwa zaidi ya Dola za kimarekani milioni 100 kwa mwaka kwaiyo akicheza bure ili kusaidia janga la Corona #meridianbettz
Agness
Habari njema asante Meridani
Antony Luseno
Federer the master in tennis ana haki ya kulipwa hela nyingi
felister
hongera Federer kwa kulipwa ela nyingi
Ester jackson
Habari nzuri sana mana inawapa hamasa sana wanawake kuwa hawapo nyuma hata kipesa asante #meridianbettz
Frank Patrick
Huyu mwanadada soon atashushwa na Selena atarudi sehemu yake ….Federa Katisha sana hapo
Neema juma
Katishaaa federer hongera kwake
Ester mmakasa
Ni jambo la kumshukuru mungu kwa upande wake kwa kupata mshahara mkubwa na kuwapita wenzake kutikana na jitihada anazozifanya.
Tahiya
Kwa tenes Federar ni nguri ivyo basi anastahili anachopata sababu anajituma mno
Emmy cleopa
Ahsante kwa taarifa
Ernest
Duuh watu tunajuwa wakina Messi, Ronaldo na Neymar ndo wanalipwa zaidi??!!!
Theckla
Pongezi kwake
Asia Abdy
He dissolve it
Sadick
Ebwanae Tennis inalipa kuliko michezo mingine? Nilitarajia wachazaji mpira wawe nafasi za juu kuliko michezo mingine #meridianbettz
Salma
Yupo vizuri sana
Tatu
Asante kwa taarifa #meridian
Kenani
Sijategemea kwahy na Ronald yupo chini take noma sana
Shafii
Duh jamaa yuko vizuri
Rehema
Duu! Jeshii Yuko vzuri sn
Juliana
Kizuri kinajiuza bana
Warda
Duuu katisha #Meridianbettz
Hope mwaikuka
Namkubal kwa Kila ktu
Mariam mtandama
Habari mjema
neema hassan
Pongezi kwake