Alexandre Lacazette Hajashawishika Kabisa na Inter

Mshambuliaji wa Arsenal, Alexandre Lacazette ameibuka kama kipaumbele cha uhamisho pale Inter, lakini L’Equipe anaonya kuwa haonekani kama mtu anayeshawishika na uhamisho huo.

Kulingana na Jarida la Ufaransa, Lacazette anaweza kuwa moja wapo wa mbadala ikiwa Barcelona Wataamua kutumia kipengele cha kuachiwa mchezaji kwa € 111m kwenye mkataba wa Lautaro Martinez.

Lacazette amefikisha miaka 29 wiki hii, na Arsenal ilimchomoa kutoka Olimpiki Lyonnais mnamo mwaka 2017 kwa ada ya €53m.

Alexandre Lacazette
Lacazette Hajashawishika Kabisa na Inter

Amechangia mabao tisa na asisti tatu katika mechi 26 za ushindani msimu huu, lakini akagonga vichwa vya habari tena hivi karibuni kwa manjonjo ya uwanjani, ambayo yamezidi kuwachanganya mashabiki na vilabu pia.

Hata hivyo, L’Equipe na mtaalamu wa masuala ya uhamisho wa Ufaransa Bilel Ghazi wanasema kwamba Lacazette hafurahii kukamilisha uhamisho kwenda San Siro.

Hatma yake na Arsenal haina mashaka yoyote, kwa sababu The Gunners wanajitahidi kupambana kufuzu kwenye Ligi ya Mabingwa.

Tayari Inter wameripoti kufanya makubaliano binafsi na mshambuliaji wa Paris Saint-Germain Edinson Cavani, ambaye atakuwa mchezaji huru msimu huu wa joto.

49 Komentara

    Tnx meridian kwa taarifa

    Jibu

    Abaki tu hapo hapo arsenal kwanza hapo kwenyewe pamepooza tu hakuna jipya

    Jibu

    Alexandre lacazette kumbe ni noma sana hivoo?

    Jibu

    Atulie tu hapohapo Mambo mazuri hayataki haraka

    Jibu

    Habari njema sana kwetu..lacazette aendelee kubakia hapo arsenal

    Jibu

    Bora abaki arsenal maana akienda inter atashuka kipaji kulingana usajili walioufanya mzimu huu

    Jibu

    Abaki tu aendelee na klabu yake

    Jibu

    Hata Manchester walikuwa wanamtaka #Meridianbettz

    Jibu

    Alexandre ni bora abaki pengine ana maana yake

    Jibu

    Mchezaji akiwa na kiwango kizuri katika uchezaje wake lazima Kila team imuhitaji

    Jibu

    Hii itakuwa habari mbaya sana kwangu,mana akiondoka lacazett timu yetu kutakuwa na pengo kubwa sana,pale mbele hatafunga nani magoli.

    Jibu

    Lacazzett ni mchezaji mzur japo bdo anamakali sana

    Jibu

    Ahamis kule ili akachukue makombe Kama wachezaji wengine waliowahi kuhama hapo Kama vile van persie amehama na kuchukua kombe

    Jibu

    cha msingi ni kuheshimu maamuzi ya mtu, lakazeti yuko sawa, inaonesha hajapenda kwenda inter

    Jibu

    Abaki tu hapo Arsenal .

    Jibu

    lacazette ni mtu makin naamin ata maamuzi yake hayatakuwa ya majuto

    Jibu

    Bola haame tu arsenal haina majaabu youote

    Jibu

    Itakuwa vizur habaki tu arsenal

    Jibu

    Mshambuaji mzuri Sana kwa intermilan hatawasaidia#meridianbettz

    Jibu

    Hatma yake na Arsenal haina mashaka yoyote, kwa sababu The Gunners wanajitahidi kupambana kufuzu kwenye Ligi ya Mabingwa.

    Jibu

    Abaki arsenal tu aendeleh kuwah mfalme

    Jibu

    Baki tu hapo ili kiwango chako kiwe kikubwa.

    Jibu

    Aondoke anaweza kwenda kutoa gundu maana arsenal hamna kitu

    Jibu

    Kwa inter sio kwel kabisa ni Bora abaki tu atengenezE kiwango Kwanza kiwe vzr bdae Itakuja offer nzur zaid

    Jibu

    Ni Bora abaki tu aongeze kiwango

    Jibu

    Basi abaki arsenal.kama hajawashiwika kwenda inter millan

    Jibu

    Abaki tuu apo

    Jibu

    Ni bora abaki

    Jibu

    alex kwa sasa ajitahidi abaki arsenal yeye ndie aongoze safu ya ushambuliaji pale

    Jibu

    Mm naona naona abaki tu arsenal

    Jibu

    katika soka hua yanasemwa mengi sana, ila kwa hili la lakazeti naona bado anasubili ofa zingine

    Jibu

    Maamuzi anayo mchezaji mwenyewe Kama abaki arsenal au aondoke

    Jibu

    Lacazette ni chuma sanaaaa

    Jibu

    Abaki arsenal#meridianbettz

    Jibu

    Aendelee kubaki kwenye klabu yake asikubali kushawishiwa kabisa

    Jibu

    Hiyo Ni habari njema kwetu

    Jibu

    Afate maaumuzi yake uwenda akawa sahihi

    Jibu

    Abaki hapo arsenal

    Jibu

    Arsenal haina mashaka yoyote, kwa sababu The Gunners wanajitahidi kupambana kufuzu kwenye Ligi ya Mabingwa.

    Jibu

    Asantee meridani kwa taarifa

    Jibu

    Try ilia ulipo baba

    Jibu

    Kwa ushauri abaki arsenal ila afanye juhudi za ziada sana

    Jibu

    Umri unamruhusu kwenda inter

    Jibu

    kwa upande wangu ni Bora tu angebakia arsenal

    Jibu

    Atangalia penye dau nono

    Jibu

    Wana Arsenal tunamhitaj bdo

    Jibu

    Abakie arsenal hapo hapo

    Jibu

    Lacazzette ni mchezaji mzuri na ataisaidia sana Arsenal endapo ataendelea kubaki#meridianbettz

    Jibu

    Ni mchezajii makini mno

    Jibu

Acha ujumbe