Ed Woodward - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Man U: Zinedine Zidane Anambadili Mourinho?

Football

Kulikuwa na tetesi za chini chini kuwa huenda Zinedine Zidane akawa anaongoza katika orodha ambayo makamu mwenyekiti bwana Ed Woodward anaifikiria kumbadili Mourinho. ripoti hizi zinahusisha kufanya vibaya katika mechi …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Rais wa Barcelona Joan Laporta anashughulikia mkataba wa miaka mitatu kumpa mshambuliaji wa Argentina Lionel Messi katika jaribio la kumshawishi mchezaji huyo wa miaka 33 abaki klabuni humo. …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Manchester United huenda wakapata nguvu ya kumsajili winga wa Borussia Dortmund, Jadon Sancho baada ya Ed Woodward kutangaza kuondoka. Tetesi zinasema West Ham wameungana na Barcelona, Bayern Munich …

Agnelli Ashikiwa Bango Aondoke!

Daily News

Hashtag ya #Agnelliout imeshika kasi kwenye mtandao wa Twitter ikiwa ni shinikizo la kumtaka raisi wa Juventus Agnelli kujiuzulu klabuni hapo, lakini klabu bado inasisitiza kuwa ataendelea kuwepo. Bwana huyu, …

Maguire Apongezwa Kwa Ushujaa!

World

Nahodha wa Manchester United Harry Maguire amepewa kongole na wachezaji wenzake pamoja na watu mbalimbali duniani baada ya kuongea na Ed Woodward kuhusu msimamo wa wachezaji wenzake juu ya European …

Juventus: Agnelli Bado Yupo 100%

Daily News

Timu ya Juventus imekanusha uzushi ulionenea hivi karibuni kuhusiana na rais wao Andrea Agnelli kujiuzulu kutokana na Super League. Hivi karibuni kulikuwa na uzushi kuwa rais huyo wa Juventus amejiuzulu …

Tetesi za Usajili

Bundesliga

Kocha wa Aston Villa, Dean Smith anakusudia kukiimarisha kikosi chake katika safu ya ushambuliaji baada ya kufanikiwa kuepuka kushuka dara kutoka Premier League. Katika kuhakikisha inafanikiwa katika hilo, wamekusudia kumsajili …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema washindi wa kombe la FA Arsenal wanamlenga beki wa kati wa Brazil Diego Carlos huku Mikel Arteta akipanga marekebisho makubwa msimu ujao. Arsenal itatoa ofa kwa mshambuliaji wa …

Ole Atengewa Fungu la Usajili

Meridianbet

Kaimu Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Manchester United, Ed Woodward, amekubali kutoa kiasi cha pauni 140m, kwa kocha Ole Gunnar Solskjaer, kuhakikisha anafanya usajili wa kutisha kuelekea msimu ujao. Klabu …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Benfica imesitisha azma yake ya kumsaka mshambuliaji Edinson Cavani, 33, huku mchezaji huyo aliyekuwa Paris St-Germain akidai karibu pauni milioni 18 kwa kila msimu. Chelsea imekuwa ikimfuatilia mlinzi …

Man U Kupiga Panga Wachezaji Sita

Daily News

Manchester United imeripotia kuwa wasikiliza ofa kwaajili ya Alexis Sanchez, Chris Smalling, Marcos Rojo, Phil Jones, Jesse Lingard na Diogo Dalot ili kutengeneza mkwanja kwaajili ya maingizo mapya majira ya …

Uhamisho Jadon Sancho ni Gombania Goli

Bundesliga

Jadon Sancho, 20, ametajwa kuwa anataka kurejea Ligi Kuu ya Uingereza baada ya kuondoka huko mwaka 2017. Alitokea Manchester City kwenda kukipiga Bundesliga akiwa na Borrusia Dortmund hadi leo. Kwa …

1 2 3 4