Raphael Varane - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Romelu Lukaku ametua London jana jionu kwaajili ya kukamilisha uhamisho wa pauni milioni 97.5 kutoka Inter Milan kwenda Chelsea. Arsenal iko kwenye mazungumzo ya hali ya juu …

Madrid Kufanya Lolote Kumpata Mbappe

Daily News

Baada ya kuwaachia Sergio Ramos na Raphael Varane waondoke, Real Madrid inaripotiwa kuwa sasa Thibaut Courtois, Karim Benzema, Fede Valverde, David Alaba na Vinicius ndiyo wachezaji pekee ambao Madrid inatarajia …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Chelsea wameanza mazungumzo na Sevilla kwa ajili ya kumnasa mlinzi wa kifaransa, Jules Kounde, 22 ambaye mkataba wake una kipengele cha ada ya £68.4m. Nyota wa Borussia …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Manchester United inakaribia kufikia makubaliano na Real Madrid kwa ajili ya kumsajili mlinzi wa Ufaransa Raphael Varane, 28, kwa dau la £42m. United pia wanaweza kumsajili kiungo …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Manchester City wako tayari kumtoa mmoja wa wachezaji nyota akiwemo mshambuliaji wa Brazil Gabriel Jesus, 24, nahodha wa Algeria Riyad Mahrez, 30, kiungo wa Ureno Bernardo Silva, …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Kiungo wa kati wa Manchester United Paul Pogba ananyatiwa na Paris St-Germain msimu huu wa joto na klabu hiyo ya Ligue 1 inapanga kuuwauza wachezaji kadhaa kukusanya …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Tottenham wanaweza kumsajili kiungo wa kati wa Roma Lorenzo Pellegrini, 25, lakini watatakiwa kutoa kititia cha pauni milioni 26 kumnasa Muitaliano huyo. Arsenal wanamtaka mshambuliaji wa Chelsea …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, wakala wa Cristiano Ronaldo Jorge Mendes anafanyia kazi mpango wa kuongezwa kwa mkataba nyota huyo wa kusalia Juventus kwa mwaka mmoja zaidi utakaomfunga mshambuliaji huyo wa Ureno …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

News

  Tetesi zinasema, beki Sergio Ramos, 35, ambaye amemaliza mkataba wake na Real Madrid hivi karibuni amekataa ofa ya pauni milioni 10 ili kujiunga na klabu ya Manchester United. Mlinda …

Wesley Fofana Kwenye Rada za Real Madrid

Daily News

Real Madrid anaripotiwa kumfukuzia Wesley Fofana wa Leicester City katika msimu huu wa usajili ikiwa Raphael Varane ataondoka klabuni hapo. Kesho ya Varane inabaki kuwa mada iliyotawala uvumi mwingi, huku …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Manchester United inampango wa kumfanya kiungo wa Ufaransa Paul Pogba, 28, kuwa mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa katika Ligi Kuu ya Uingereza katika mkataba wake mpya wa kima …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, mshambuliaji wa Tottenham na England Harry Kane, 27, amewaeleza wazi wawakilishi wake kwamba atakuwa tayari kuungana tena na Mauricio Pochettino Paris St-Germain. Arsenal watajaribu tena kusaini mkataba …

1 2 3 4 5 6 7 8