Raphael Varane - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Man United Yatakata ugenini.

News

Manchester United yaendelea ilipoishia kwenye mchezo ulioisha dhidi ya Liverpool mwanzoni mwa wiki hii. Mapema leo katika majira ya saa nane na nusu mchana Man united ilikua uwanjani katika dimba …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Barcelona wanapanga kuwasajili wachezaji watatu wa Chelsea – kiungo wa Morocco Hakim Ziyech, 28, winga wa England Callum Hudson-Odoi, 21, na kiungo wa Marekani Christian Pulisic, 23. …

Paul Pogba Kubaki/Kuondoka United?

Daily News

Takribani miezi 9 iliyopita, wakala wa Paul Pogba (Mino Raiola) aliuambia ulimwengu (kupitia vyombo vya habari), ni muda wa kiungo huyo kuondoka United, itatokea? Pogba wa sasa, sio sawa na …

Bernabeu Mpya, Real Madrid Mpya

Daily News

Licha ya kumkosa Kylian Mbappe katika dirisha lililopita la usjaili Real Madrid haijakata tamaa bado wapo kwenye mipango ya kumleta Bernabeu mshambuliaji huyo wa Ufaransa ambaye mkataba wake na PSG …

1 2 3 4 5 6 7 8