Msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Manara ameeleza kuwa klabu hiyo imekusanya zaidi ya bilioni moja kutoka kwa wanachama kwa kipindi cha miezi sita.
Manara ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari hii leo jijini Dar Es Salaamu.

“Haipo na haijawahi kutokea kwa klabu yoyote Afrika Mashariki na ya kati kuweza ku- collect one billion from members, haipo na haijawahi kutokea Afrika Mashariki na kati tena kwa miezi sita tu” Amesema Haji Manara.
SHINDA Samsung A32 ukiwa na mchezo wa Aviator kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet! Kwea pipa ukusanye zawadi zako pamoja na ushindi mnono wa mkwanja!