Yanga Kukipiga Dhidi ya Azam FC Leo

Ligi kuu ya NBC inatarajiwa kuendelea hii leo kwa mchezo mmoja mkubwa kabisa ambao ni Derby ya Dar es salaam ambao utawakutanisha Yanga dhidi ya Azam FC katika dimba la Benjamin Mkapa.

 

Yanga Kukipiga Dhidi ya Azam FC Leo

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa majira ya saa 12:30 jioni huku timu zote zikiwa zimejiandaa vyema kupata pointi tatu kwenye mchezo huu wa leo kwani zimepata kujiandaa kwa muda sasa.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Yanga akiwa kama mwenyeji wa mchezo yupo nafasi ya tatu akiwa na pointi zake 12 baada ya kucheza michezo yake mitano akishinda minne na kupoteza mmoja akiwa ugenini.

Yanga Kukipiga Dhidi ya Azam FC Leo

Wakati kwa upande wa Azam FC yeye yupo nafasi ya pili kwenye msimamo akiwa na pointi zake 13 akishinda michezo minne kati ya mitano aliyocheza na akitoa sare mchezo mmoja.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili, vijana wa Jangwani waliibuka na ushindi. Je leo hii inaweza kuwa nafasi ya Wanalamba Lamba kulipa kisasi?

 

Acha ujumbe