Fei Toto Aingia Anga za TP Mazembe

KIUNGO mzawa ndani ya kikosi cha Yanga,  Feisal Salum wengi wanapenda kumuita Fei Toto ameingia Kwenye anga za Klabu ya TP Mazembe ya Congo.

Mbali na Toto pia beki mzawa wa kati  Bakari Mwamnyeto anatajwa kuingia kwenye rada za vigogo hao wa soka ndani ya Afrika.

Wazawa hawa wote wawili wana nafasi ya kucheza timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars na kwenye mchezo uliopita wa kufuzu Afcon dhidi ya Tunisia Uwanja wa Mkapa walikuwa na kikosi.

Baadhi ya Wachezaji Yanga wakiwa katika majukumu ya timu ya Taifa

Fei Toto alifunga bao lililoipa pointi moja Stars kwenye sare ya kufungana bao 1-1 huku Mwamnyeto akipambana na Watunisia hao kwa dakika 90.

Ikiwa dili lao litajibu ndani ya Yanga kuna uwezekano wa nyota hawa wawili kusepa ndani ya Yanga ili wakapate changamoto mpya nje ya Bongo.

Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa kwa sasa bado wanajadili juu ya ofa ambazo zimewafikia mezani ili waweze kutoa taarifa kwa mashabiki.


BURUDIKA NA WANYAMAPORI WAKIIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYA MUZIKI!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, furahia mchezo wa Forest Rock. Hapa utaburudika na umahiri wa wanyapori wanaoimba na kutumia vifaa vya muziki wa rock. Burudika huku ukijiwekea nafasi ya kutengeneza pesa ndefu kupitia Meridianbet!!

INGIA MCHEZONI!

17 Komentara

    Fei toto Yuko vizuri

    Jibu

    Vizuri bonge ladili hilo kwa fey toto

    Jibu

    Ongera zake fey

    Jibu

    Tunataka maajabu hapo alipo

    Jibu

    Ila Fei toto anajitahidi tahidi na akienda TP mazembe anaweza kuwa bora zaidi

    Jibu

    Bonge la dili kila la khery fei

    Jibu

    Fey toto kafanye majabu

    Jibu

    Big deal hata wasikatae jangwani waache wakapeperushe bendera ya nchi

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Naona majilani wanataamba

    Jibu

    Get toto Yuko vizuri

    Jibu

    fei toto namkubali

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Kiungo bora tanzania

    Jibu

    Hongera kijana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Pongz kwk

    Jibu

Acha ujumbe