Makala nyingine

Tetesi za Usajili

Mshambuliaji wa RB Leipzig na Ujerumani, Timo Werner, 24, yupo tayari kujiunga na Liverpool kama vinara hao wapo tayari kulipa £52m. Kiungo wa Chelsea na Brazil, Willian, 31, yupo kwenye …

Stade Rennes wameweka dau la kumuuza kiungo wao, Eduardo Camavinga kuwa ni €50m huku tayari wakiwa wamepokea ofa kutoka kwa Real Madrid. Madrid wanamtaka kiungo huyo mkabaji kwani anaonekana ni …

VAR ni kifupi cha neno la kingereza lenye maana ya Usaidizi wa Muamuzi kwa Njia ya Televisheni, Hii imekua kawaida sana kwa kipindi cha karibuni kwa waamuzi wa michezo ya …

Nini maana ya Simulated Reality League na namna gani unaweza kuibetia? The Simulated Reality Soccer League inatumia uwezo wa kufanya kazi wa mashine za kompyuta kuangaza ubora wa timu na …

Tetesi za Usajili

Real Madrid wapo nafasi nzuri ya kumsaini straika wa Norway, Erling Braut Haaland, 19, kutoka Borussia Dortmund, lakini miamba hiyo ya Bundesliga hawapo tayari kumuuza hadi 2022. Tottenham Hotspur wamemuomba …

Tetesi za Usajili

Winga wa Manchester City Leroy Sane, 24, yupo karibu kutua Bayern Munich kwa dau £70m. Vilabu vya Premier League vitakutana Ijumaa kujadili kama msimu utamalizika kabla ya Juni 30. Kama …

Tetesi za Usajili

Inter Milan wanatarajia kumuomba mshambuliaji wa Ufaransa Antoine Griezmann, 29 kubadilishana na straika wao Lautaro Martinez kama Barcelona watajaribu kumsaini mchezaji huyo wa Argentina. Barca watajaribu kumsaini mshambuliaji wa Sweden, …

Maisha ya nyota wa Argentina, Mauro Icardi ndani ya Inter Milan, huenda yakafikia ukingoni msimu huu, baada ya Makamu wa Rais wa timu hiyo, Javier Zanetti, kudai kuwa hadhani kama …

Tetesi za Usajili

Mwenyekiti wa Tottenham, Daniel Levy atamruhusu straika wa Uingereza Harry Kane 26 kwenye Manchester United kwa dau la £200m ili kupata haueni kiuchumi. Manchester City wapo tayari kuipiku Chelsea, Real …

Miaka 39 iliyopita pale kwenye udongo wenye upako wa soka nchini Brazil, mji wa Porto Alegre ndipo anatokea fundi wa mpira mmoja wakuitwa Ronaldo de Assis Moreira ‘Ronaldinho Gaucho’ dunia …

Wakati Argentina wanapewa uenyeji wa Kombe la dunia 1978 walihitaji utulivu mkubwa kwenye Jiji la Buenos Aires, ndipo Dikteta Juan Carlos Ongania aliagiza maskini wote watolewe katikati ya jiji na …

1 2 3 34 35 36 37 38 39