Juventus Kumuongezea Mkataba Matthijs De Ligt

Klabu ya Juventus imeingia kwenye mazungumzo na beki wao kati Matthijs de Ligt wa kuongeza mkataba na miamba hiyo ya Turin hadi mwaka 2025.

De Ligt aliwafanya Juventus walipe kiasi cha €75milioni kama ada ya uhamisho mwaka 2019 wakati wanamsajiri kutoka Ajax, wakati akiwa beki bora kinda duniani kipindi hicho  aliposainishwa, lakini ajacheza michezo mingi kama alivyotarajiwa.

Juventus

Msimu huu amejikuta akiwa anawekwa nj’e  mara kwa mara na wakongwe Leonardo Bonucci and Giorgio Chiellini, mwezi wa oktoba alikiri kuwa hana furaha na nafasi anayopata klabuni  hapo, huku akihusishwa na kuhamia kwenye vilabu vya Barcelona na Chelsea.

Japokuwa kuna uvumi huo, lakini Juventus hawana mpango wa kumuachia huku wakizipuuzia taarifa za wakala wake Mino Raiola, De Ligt anamktaba na Juventus ambao unaisha mwaka 2022, huku kukiwa na kipengere cha €150milioni kama ada ya kuvunja mkataba.


WIKI NJEMA NA CRAZY TIME CASINO!

Unasababu milioni za kucheza unavyotaka ukiwa na mabingwa meridianbet, lakini unasababu moja ya kushinda mamilioni katika kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo maridhawa wa Crazy Time unakupa sababu hizo kuwa mmoja wa washindi leo hii.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.