Uongozi wa Yanga kupitia katika ukurasa rasmi wa klabu yao, umeweka wazi sababu ya nyota wao WATATU “watukutu”; Metacha Mnata, Michael Sarpong na Lamine Moro kukosekana katika baadhi ya mechi ni utovu wa NIDHAMU.

yangaLamine awali aliondolewa katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Namungo walipocheza mkoani Lindi, alirejeshwa DAR huku wakisema amerejeshwa akiwa anaumwa.

yangaUpande wa Sarpong inaelezwa yeye aligoma kusafiri na timu kwenda Dodoma hali iliyowafanya benchi la ufundi pamoja na uongozi kiujumla kumuweka katika orodha ya utovu wa nidhamu.

Wakati huo huo kipa Metacha Mnata ambaye alikuwa na timu kwenye mechi za Ligi (Namungo na JKT Tanzania) amerejeshwa jijini Dar es Salaam baada ya utovu wa nidhamu, za chinichini ikisemekana kuwa ulevi uliopitiliza


BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.

Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.

YANGA

SOMA ZAIDI

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa