Meneja wa Manchester, Pep Guardiola anasema Manchester City haina budi kukubali ukosoaji unaendelea juu yao baada ya kuanza vibaya Ligi Kuu, lakini pia anaamini kuwa wapo katika nafasi nzuri ya kuwa bora tena.
Baada ya sare ya 1-1 dhidi ya West Ham, Manchester City wamekusanya jumla ya pointi nane tu katika mechi zao 5 za ufunguzi. Pointi hizi ni chache zaidi kupata kwa mechi hizo tangia mwaka 2014-15.
City wanaenda kukutana na Sheffield United Jumamosi, ambao wana pointi tano nyumba ya Everton na Liverpool.
Japokuwa mambo yamekuwa tofauti, Guardiola ambaye anakubali kukosolewa anaona bado kuna ishara nyingi tu za wao kurejea katika ubora wao kwa wiki na miezi michache ijayo.
“Tunatakiwa kukubali (kukosolewal), soka la leo lipo kwenye mitandao, ukishinda wewe ni mzuri. Ukipoteza wanataka kuharibu kila kitu” -Guardiola
Guardiola anasema anawajibika kutafuta namna bora ya kurejesha ubora kikosini. Anasema licha ya kuwepo na wakosoaji kama mwenyekiti, mameneja na wachezaji wako kimya basi wanatambua nini wafanye kurejesha ubora.
Tunazungumzia mkwanja wa Tshs.160,000,000! Kupitia Kasino ya Mtandaonii ya Meridianbet unaweza kuwa milionea wakati wowote.



aisha
City wako pahali pabaya sana lakini kinachotakiwa wasikate tamaaa maana mpira bwana hauitaji hasira
Hopemwaikuka
Changamka kutafuta ufumbuz kabla hamjafel
Fatuma kasomo
City hawako vizuri inabidi wajitahidi sana
Dorophina
City kwa sasa mpira wao unashuka sana sio kama misimu iliyopita
Sauda
City wajipange
Fatina mfigi
Wajipange vizur
Mwajumah
City wajipange kwelikweli yan
Tatu
City wanatakiwa kujitasimini wapi wanapokosea
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri Sana kwakocha mwenye uwerewa wakujipa moyo Kama wewe ila mwanzo mbaya mkikaza mtafika mahala usika
Ester jackson
Niaibu kubwa sana kwa timu kubwa ambayo inaongoza kiukubwa na ndiyo ya kwanza kuwa nyuma Ila pia lazima wakubali kukosolewa ili waweze kutambua makosa yao wajirekebishe vizuri nimeipenda hiyo kocha
Sabrina
Ndio ajipange Guardiola
Khadija
Wajipange upya
Ernest
Ni wakati sahihi kwa wachezaji wa Mancity kumpa support kocha wao sababu wanakila sababu ya kumsuport kocha wao
warda
Guardiola huwa namkubali sana
Mwanahamisi
Wajipange upya
Amani Maeda
Man City ni kama wanasema bora kuanza vibaya ukarekebisha kuliko kumaliza vibaya bila kurekebisha.
Hiyo mia sitini milioni inanitoa macho.
Povel
Nice update
Saupha mohamed
Good news