Juventus Kupunguza Wanne Uhamisho wa Januari

Juventus wana matatizo ndani na nje ya uwanja kwa sasa, hivyo Massimiliano Allegri anatafuta suluhu.

Kocha huyo wa Kiitaliano anataka wachezaji wapya wafanye nao kazi kwenye Uwanja wa Allianz, lakini ili kupata nafasi klabu hiyo inabidi ipunguze baadhi ya kikosi chao cha sasa.

Kulingana na Corriere della Sera, Juve ina wachezaji kama wanne ambao wapo tayari kusepa Januari. Dejan Kulusevski, Aaron Ramsey, Adrien Rabiot na Arthur Melo wote wanaonekana kuuzwa.

Mchezaji huyo mchanga wa Uswis amekuwa akishiriki mara kwa mara msimu huu lakini kuna imani nchini Italia kwamba Allegri hamwamini kabisa kama Andrea Pirlo.

Arthur amecheza mechi nne pekee za Serie A, na tatu kwenye Ligi ya Mabingwa, lakini mchezaji huyo wa zamani wa Barcelona anasita kuondoka Bianconeri.


MUDA WA KUJIACHIA NA CARNAVAL JACKPOT

Mabingwa Meridianbet hawajawahi kukuacha mnyonge hasa katika kipindi hiki cha msimu wa sikukuu, kasino maridhawa ya Carnaval Jackpot inakupa thamani ya dau lako. Kuwa mmoja wa washindi leo hii.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.