Golikipa wa Liverpool, Loris Karius amesema amesitisha mkataba wa miaka miwili kwa mkopo katika klabu ya Besiktas. Karius alikuwa kwenye mwaka wake wa pili wa mkopo Besiktas amecheza mechi 30 kabla ya msimu kusimama kwasababu ya Corona.
Karius amesema katika ukurasa wake Instagram “aibu kumalizika hivi”.
“Nilikuwa mpole kwa mwezi sasa, kuwaambia bodi mara kwa mara. Kitu kilekile kimetokea mwezi uliopita.”
Mwezi uliopita Karius alisema ameiripoti Besiktas kwa Fifa kwasababu ya kutokulipwa mshahara kwa mara ya pili, japo dili kati ya pande mbili limehitimishwa bila Fifa kuingilia.Dili la mkataba wa Karius baada ya kusitishwa na Besiktas wamekubali kulipa £400,000 kama fidia.
Karius, ambae mchezo wake wa mwisho akiwa na Liverpool ilikuwa ni mwaka 2018 akipoteza Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
“Ni muhimu kwangu na mnafahamu, nimefurahi kucheza nikiwa hapa.
“Siku zote mmenisapoti katika nyakati nzuri na mbaya na siku zote nitakumbuka katika namna nzuri.
“Pia nataka niseme asante kwa wachezaji wenzangu wote, makocha na watu wote wanafanyakazi kwaajili ya klabu. Mmenipokea kwa mikoni miwili tangu siku ya kwanza.”


SADICK
Nadhani ni mchezaji wa pili kuachana na Ligi ya Uturuki kwa sababu za Corona. Asante meridian kutujuza
Neema juma
Kila iitwapo leoo tunajua taarifa nzurii za kipekee
hamidu
kipa mchomeshaji..ila anatakiwa apambane kweli kwel
povel
asante meridian kutupa habar na kubashiri matokeo ya michezo kwl meridian baba lao
Gabriel
Good news 👍
Elika
Meridian bet mnatujali kwa habari nzuri.tulizokuwa hatuzifahamu
mwakalosi
Huyu kiwango kimeshuka sana na anafanya makosa ya kizembe sana
samiah
Habari zakusikitisha hz
Ernest Kimeru
All the best Karius!!
Asia Abdy
Asante meridian napenda kufuatilia sana habar mnazotuletea
Neema hassan
Asante meridianbet kwa kutupa habari zinazoendelea Katka ligi..
johnmary joel
siyo vibaya kwa uamuzi uliouchukua
Rehema Dickson
Yan meridian sio michezo adi habari kubwakubwa za michezo twazipata hapa kwa uzuri kabisaa
Agness
Asanteni meridian kwa habari nzuri
Salma
Mko vizuri kwenye taharifa
Furahav
Aende tu katuchomesha huyo.
felister
asanteni meridian bet kwa kutujuza
Zainabu
Daah corona hii
Neema juma
Kaamua kuwashukuru kabisa jinsi walivyompokea vzr