Manchester United ya Asali na Maziwa imerejea
Makala iliyopita
Harry Kane Apata Majeraha
Makala ijayo
Manchester City Wamebamizwa Tena
Man United waliuanza mchezo kwa kasi na kuonesha wana nia ya kupata mabao mapema na walionekana kufanikiwa kwani walipata mabao mawili kipindi cha kwanza kupitia kwa Marcus Rashford na Joshua Zirkzee usajili mpya klabuni hapo na kipindi cha kwanza kikimalizika wakiwa mbele kwa mabao mawili.
Manchester United baada ya ushindi wa leo wamefanikiwa kupanda mpaka nafasi ya 9 kutoka nafasi ya 12 ambapo wamefikisha jumla ya alama 19 huku magoli ya kufunga na kufungwa pia yakipanda mpaka manne, Kwani walikua 0 kwa muda mrefu kibarua kinachofuata kwa United ni Emirates dhidi ya Arsenal.