Matias Vecino Akutwa na Covid Pia

Baada ya Lautaro Martinez, kiungo wa kati wa Inter sasa Matias Vecino pia amepimwa na kukutwa na COVID-19 na ilimbidi kujiondoa katika majukumu ya kimataifa.
Matias Vecino
Matias Vecino

Kuna dalili za mlipuko wa COVID ndani ya kikosi cha Nerazzurri na inaathiri mataifa mengine sasa.

Lautaro Martinez alilazimika kuachana na safari ya kwenda Argentina baada ya kupimwa na kukutwa na COVID-19 jana.

Sasa mambo yale yale yametokea kwa mwenzake wa Inter, Vecino, ambaye hataweza kuichezea Uruguay.

Alikuwa amepangwa kucheza dhidi ya Peru na Chile katika mechi ya kufuzu kwa Kombe la Dunia.


3500 NI YAKO UKIJIUNGA TU MERIDIANBET!

Una nafasi ya kupata bonasi ya shilingi 3500 kwa ajili ya kuanza safari yako ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Kubeti Poa - Bonasi Kubwa

Jisajili sasa

Acha ujumbe