"Mbappe na Neymar ni Wachezaji Wazuri Zaidi Duniani.”

“Ukiacha Messi na Ronaldo, Mbappe na Neymar ni Wachezaji Wazuri Zaidi Duniani.”

Mara baada ya kuisaidia PSG kufika fainali ya Ligi ya Mabingwa kwa mara ya kwanza katika historia ya klabu hiyo na kushinda taji la ligi kuu ya Ufaransa ‘Ligue 1’ msimu wa 2019/20, Mbappe na Neymar wamefanikiwa kumshawishi mkurugenzi wa michezo wa PSG kuwa wao ni wachezaji wazuri zaidi duniani nyuma ya Messi na Ronaldo.

Mbappe, alifanikiwa kuifungia PSG jumla ya magoli 30 katika mashindano yote msimu uliopita wa 2019/20, huku Neymar akiweka kambani magoli magoli 19 katika michezo 27 aliyocheza.

Wawili hao wametajwa mara kadhaa kuja kuwa warithi wa nyota wa Juventus, Christiano Ronaldo (35) na shujaa wa Barcelona, Lionel Messi (33) pale watakapostaafu kucheza soka la kiushindani.

Mkurugenzi huyo wa michezo, Leonardo anatarajia nyota hao wataendele kubaki PSG licha ya kuwa mara kadhaa wamekua wakihusiahwa na tetesi za kuihama klabu hiyo.

“Tunataka kuendelea kusalia na Mbappe na Neymar. Ni lazima tufanye hivyo,” alinukuliwa Leonardo.

“Kuwa na wachezaji wawili kama wale kwenye kikosi ni jambo kubwa. Messi na Ronaldo wapo timu tofauti. Tunao wachezaji wakubwa wawili baada ya Messi na Ronaldo.”

Mkurugenzi huyo pia amesisitiza kuwa wana mpango wa kuendelea na kocha wao wa kikosi cha kwanza, Thomas Tuchel, licha ya kuwepo kwa tetesi kuwa wamekuwa wakimuwania Massimiliano Allegri.


 

SHINDA NA MERIDIANBET!

Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.

Cheza Sasa.

 

38 Komentara

    Na Hawa wachezaji watakuwa moto sana msimu huu#Meridianbettz

    Jibu

    ni wachezaji wazuri lakini si duniani sanbabu kuna wachezaji wazuri zaidi ya wao

    Jibu

    Hao Wachezaji wapo vizuri Sana huo msimu utakao Anza watakuwa Moto Sana nawaerewa hoa wapambanaji

    Jibu

    hawa wachezaji ni Moto wa kuotea mbali

    Jibu

    Wana chemistry nzur sana wawapo uwanjani

    Jibu

    Mm nawakubali sana Ni wachezaji bora wakiwa kweny kazi yao!

    Jibu

    Wachezaji hao wapo vizuri sana msimu ujao mamb yatakua moto wa kuotea mbali#Meridianbettz

    Jibu

    Hawa wachezaji ni balaa

    Jibu

    Hiyo caple bomba sana

    Jibu

    Kwa kweliii hiyo ni point kabisaa hao wachezajii wako vizuri mno

    Jibu

    Kweli wako vizuri sana lakini sio ki dunia kwasababu wapo wengine wazuri zaidi yao kama salaa na wenzake

    Jibu

    Wachezaji wa msimuu atalii

    Jibu

    msimu utakao Anza watakuwa Moto Sana nawaelewa sana hoa wapambanaji

    Jibu

    Kuwa na wachezaji wawili kama wale kwenye kikosi ni jambo kubwa. Messi na Ronaldo wapo timu tofauti. Tunao wachezaji wakubwa wawili baada ya Messi na Ronaldo.

    Jibu

    Hilo halina ubishi ukitaja kwa sasa wachezaji kumi bora na wao wamo

    Jibu

    Neymar anasifa zake na Mbappe anasifa zake, Lakini kwangu mimi Mbappe ni moto wa kuotea mbali kwa sasa

    Jibu

    Wana combination nzuri ndani ya Psg na wanamvuto mkubwa kwa mashabik wa soka ulimwenguni

    Jibu

    Wachezaji makini sna kwa ubora wao watadumu sana kwenye soka

    Jibu

    Wako vizuri sana.

    Jibu

    Waxhezaji wapo makini sana#meridianbettz

    Jibu

    Ni wachezaji wazuri sana wenye kujituma

    Jibu

    Wanajua wanachokifanya kila mtu na kazi yake

    Jibu

    Ni kwel wako vzur

    Jibu

    waongeze bidii

    Jibu

    Ila majeruhi ya Mara kwa Mara ndio yamekua kikwazo kwao.

    Jibu

    Sahihi

    Jibu

    Ni hatari hawa watu

    Jibu

    Niwachezaji walitabiliwa kuwalisi mess na Ronaldo ila hawajafikia wabak kushik nafax ya tatu na nne

    Jibu

    Mbappe yupo moto

    Jibu

    Wachezaji wapo vizuri Sana

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Asnt kwa taarif

    Jibu

    Mbappe na Neymar wapo vizuri sana na msimu ujao watakuwa vizuri zaid

    Jibu

    Wapo vizuri sana

    Jibu

    Wanajitaidi sana cha msingi wazidi kupambana kwenye soka wasilewe sifa!!!

    Jibu

    Wajitahidi tu

    Jibu

    Kweli wako vizuri sana lakini sio ki dunia kwasababu wapo wengine wazuri zaidi yao kama salaa na wenzake

    Jibu

    Hawa vijana wako vizuri sn

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.