Mwakinyo Kuweka Rekodi Leo Dhidi ya Liam Smith

Hassan Mwakinyo “The Champion Boy Ukipenda muite Tornado” Leo majira ya saa3:30 za Usiku atapanda uringoni kwa mara nyingine tena baada ya kukaa kwa muda mrefu bila pambano, atapambana na bondia namba 6 kwa ubora dunia Liam Smith.

Mwakinyo Kuweka Rekodi Leo Dhidi ya Liam Smith

Liam Smith baada ya kumpiga Jessie Vargas na kushinda mkanda wa WBO “Inter-Continental light-middleweight” huko New York mwezi Aprili.

Mwakinyo ambaye anajulikana vizuri huko Uingereza kutokana na rekodi yake ya kumpiga kwa KO’s, Sam Egginton huko Birmingham katika Raundi ya pili mwaka 2018, hivyo hawezi kutishika na wala sio mgeni na ardhi ya Uingereza.

Mapambano Mengine ya Ufunguzi “UnderCard”

Natasha Jonas vs Patricia Berghult
Frazer Clarke vs TBA
Dan Azeez vs Shakan Pitters
John Docherty vs Diego Costa
Nathan Quarless vs Michael Webster
Adam Azim vs TBA
Tal Singh vs TBA
Paddy Lacey vs TBA
Frankie Stringer vs TBA

Mwakinyo Kuweka Rekodi Leo Dhidi ya Liam Smith

Rekodi za Hasaan Mwakinyo.
Mwakinyo alianza safari yake ya kupigana mwaka 2015 huko Jijini Tanga.
-Mwaka 2016 alipambana na Shabani Kaoneka na kupigwa kwa KO lakini hakuishia hapo aliendelea kupambana mpaka hii leo.

Mwakinyo Kuweka Rekodi Leo Dhidi ya Liam Smith

-Ushindi wa KO dhidi ya Mnabia Anthony Jarmani kule nchini Botswana ulimpatia rekodi ya Kimataifa, ambapo alipata mkanda wa WBA “Pan African super-welterweight” mwaka 2017.

-Alipambana na Mrusi Lendrush Akopian na kupigwa katika raundi ya 4.

-Mwakinyo alishinda taji la Shirikisho la Ngumi Duniani la Mabara (The World Boxing Federation Intercontinental title) mwaka 2020 na kufanikiwa kulitetea mara moja ikiwa ni katika mapambano yake matatu ya mwisho.

Mwakinyo Kuweka Rekodi Leo Dhidi ya Liam Smith

-Moja ya rekodi kubwa kuwahi kuiweka ni ile ya kumkalisha bingwa wa zamani wa dunia Julius Indongo mnamo Septemba 2021, na kuimarisha sifa za Mwakinyo zilizowekwa kwa heshima ya ushindi wake dhidi ya Eggington.

Mwakinyo Kuweka Rekodi Leo Dhidi ya Liam Smith

Rekodi yake ya sasa AMESHINDA mapambano 20 (14 kwa KO) na kupoteza mara mbili.

Rekodi za Liam Smith.

-Ni bondi namba 6 kwa ubora duniani.
-Ameshinda Mapambano 31, 18 kwa KO na amepoteza mapambano 3.
-Alianza kupigana mwaka 2015 akimpiga John Thompson
-Mwaka 2016 alimpiga Canelo Alvarez katika Raundi ya 9
-Smith ameshinda mara nane tangu wakati huo, ikijumuisha ushindi mara mbili mfululizo dhidi ya Liam Williams na, Oktoba 2021, ushindi dhidi ya Anthony Fowler na kupata taji la WBA International light-middleweight.

Mwakinyo Kuweka Rekodi Leo Dhidi ya Liam Smith

-Kabla ya kumpiga Fowler, Smith alionyesha tena nia yake ya kuingia kwenye tundu la simba alipokwenda Urusi kumenyana na Magomed Kurbanov ambaye hajashindwa kuwania taji lililokuwa wazi la WBO International light-middleweight.

Mwakinyo Kuweka Rekodi Leo Dhidi ya Liam Smith

Akifanyiwa mahojiani wakati wa kupima uzito jana Smith aliiambia Skysports kuwa, anamuelewa Mwakinyo ni bondia mzuri mwenye rekodi nzuri hivyo anaamini pambano hilo litakuwa bora sana.

Acha ujumbe