Baada ya kupeleka kilio kwa mashabiki wa Man United, Neymar Jr ameshtua ulimwengu kidogo kwa kusema kwamba anataka kucheza na Messi kuanzia 2021.

PSG wamewaburuza Man United kwa magoli 3-1 katika uwanja wa Old Trafford. Huu ni muendelezo kwa United kupoteza michezo yao ya nyumbani wakati ambao PSG wameendelea kutamba kwa kupata matokeo katika mechi zote walizocheza Old Trafford.

Ushindi kwa PSG unawapa nguvu na ari mpya ya kufuzu hatua ya 16 bora licha ya kuendelea kushika nafasi ya pili kwenye msimamo wa Kundi H wakiwawamezidiwa magoli 3 na United.

Neymar Jr ambaye alijiunga na PSG akitokea Barcelona mwaka 2017, amenukuliwa akisema kwa uwazi kuwa ” ninataka kucheza nae (Messi), nitaruhusu acheze kwenye nafasi yangu kama atahitaji kufanya hivyo. Kiukweli, mwakani inabidi tucheze pamoja.”


FURAHIA MUZIKI MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Mchezo wa Astro Legend unakupatia burudani ya muziki kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

Neymar Jr, Neymar Jr Kucheza na Messi Mwakani., Meridianbet

INGIA MCHEZONI

22 MAONI

  1. PSG wataweza kuvunja kibubu? pili shida aina ya mpira ambayo PSG wanacheza sidhani kama utakuwa uamuzi sahihi kwa Messi kuchezea PSG.

  2. Psg wawez kuvunja benki kunasa saini ya la pluga MESSi shida ipo kwny fair play hapo ndo mtihani unapoanza deal la messi kuonekana gumu

  3. PSG wataweza kuvunja kibubu? pili shida aina ya mpira ambayo PSG wanacheza sidhani kama utakuwa uamuzi sahihi kwa Messi kuchezea

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa