Onyango Atundika Daluga The Cranes

Mlinda mlango Denis Onyango ameliandikia barua Shirikisho la mpira wa miguu nchini Uganda ‘FUFA’ akitoa taarifa ya kustaafu kuichezea timu ya Taifa ya Uganda ‘The Cranes’

Onyango
Onyango na Samatta

Onyango ameitumikia Uganda katika michezo 83 tangu alipocheza mechi yake ya kwanza ya kimataifa dhidi ya Cape Verde mnamo Juni 2005.

Mlinda mlango huyo anaondoka huku Uganda wakiwa wameshindwa kufuzu kucheza mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) ya 2021 huko Cameroon.

Onyango akiwa Mamelodi

“Imekuwa furaha kubwa kuwakilisha nchi yangu na nitashukuru kila wakati uzoefu na maarifa ambayo nimepata wakati nikichezea The Cranes ameandika Onyango.


JILIPE KWA NAMBA ZAKO ZA BAHATI NA KENO

Kila mtu ana namba zake za bahati, Meridianbet tunatambua namba zinaweza kukufanya milionea leo. Jilipe kwa namba zako za bahati kila baada ya dakika tano.

CHEZA HAPA

6 Komentara

    Kila lakheri onyango

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Safi sana kazi na umri

    Jibu

    Kila kheri

    Jibu

    Saf

    Jibu

    Nilijua Onyango wa simba

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.