Ramos Atua PSG Mpaka 2023

Aliyekuwa nahodha wa timu ya Real Madrid ya La Liga, Sergio Ramos ametajwa kusaini mkataba wa miaka miwili na mabingwa wa kihistoria wa Ligue 1, Paris Saint German.

Ramos anajiunga na PSG akiwa kama mchezaji huru baada ya kushindwana na Madrid ambao walioonekana kumtoa nyota huyo kutokana na masuala ya kiuchumi yanayoikumba klabu hiyo.
Ramos
Sergio akikumbatiana na Neymar katika mchezo wa UCL

PSG imekosa beki kiongozi kwa muda mrefu na inaonekana imeona umuhimu wa Sergio na bila shaka watajipatia faida kubwa. Taarifa kutoka sehemu mbalimbali zinaeleza kuwa vipimo vya afya vitafanyika siku za usoni na mchezaji huyo atatambulishwa wakati huo.


KUSANYA PESA HAPA!

IcyGems kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Ndio, ukiwa kwenye nyumba ya mabingwa, ndipo utakapoufurahia ubora wa Kasino ya Mtandaoni sambamba na kushinda kwa ushindi mkubwa! Ishi na hii, IcyGems!Meridianbet

INGIA MCHEZONI

Acha ujumbe