Kamishna mkuu wa wa ligi ya mpira wa miguu wa Marekani, NFL amesema bodi ya wakurugenzi wakuu wa michuano ya mpira wa miguu nchini Marekani maarufu kama NFL imetoa ruhusa kwa matukio matatu yaliyopangwa kufanyika Aprili 23-25 kuendelea licha ya ligi hiyo kusitishwa kwa kuzuia wahudumu wa timu wachezaji na makocha pamoja na wafanyakazi wote kusanyika kukusanyika kutokana na janga la Corona (COVID-19).
Goodell: Naamini ratiba hii itakuwa na kusudio chanya kwa vilabu vyetu, mashabiki na nchi kiujumla na naamini wengi wenu mtakubaliana na mimi.
Katika mazungumzo na waandishi, Bwana Goodel alisema mashabiki, waandishi na wafuatiliaji wengine hawatakuwa kwenye mfumo wa kawaida.
Goodel aliongezea kwa kusema, ‘’Nje ya kikao cha wakurugenzi nimekaa pia na wamiliki wa vilabu, makocha na tukafikia makubaliano yetu ya kuwa wao wamekubaliana na mapendekezo ya C.E.C (Council Excecutive Committee) lakini pia tayari tumezuia matukio yote ya kijamii na mikusanyiko na kwa sababu hiyo matukio yatakayotokana na ratiba zetu hayatahatarisha maisha ya wafuatiliaji wetu na tumeamua kurusha michuano hiyo bila mashabiki na badala yake watafuatilia kwa njia ya televisheni.”


Furahav
Safi