Samuel Umtiti Kwenda Newcastle kwa Mkopo

Kwa mujibu wa ripoti, mchezaji wa Barcelona Samuel Umtiti ametolewa kwa Newcastle United kwa mkataba wa mkopo.

Newcastle wanatarajia kusajili beki kwenye dirisha hili la usajili ili kumpa Eddie Howe chaguo zaidi kuelekea nusu ya mwisho ya msimu.

Newcastle wameruhusu mabao 42 hadi sasa kwenye Premier League, huku kukiwa hakuna timu iliyoruhusu magoli zaidi yao, na Norwich City wakiwa na rekodi hiyo hiyo.

Samuel Umtiti

Kwa mujibu wa Daily Mail, Barcelona wamemtoa Umtiti kwa klabu hiyo ya Ligi Kuu ya Uingereza kwa mkataba wa mkopo hadi mwisho wa msimu huu, huku chaguo la kumnunua likiwa sehemu ya biashara hii.

Miamba hao wa Uhispania wanatumaini kupunguza mzigo kwenye vitabu vyao vya malipo, huku wakiwa tayari kumuacha Samuel Umtiti aondoke licha ya kukataa kuhama mara tano katika dirisha la uhamisho lililopita.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe