Sergio Aguero Kustaafu Soka, Hali Si Shwari.

Hali ya mshambuliaji wa FC Barcelona, Sergio Aguero sio njema sana kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya moyo. Kustaafu soka kunakuja?

Aguero amekuwa akisumbuliwa na matatizo ya moyo kwa muda sasa na hivi karibuni, alipata shida hiyo akiwa uwanjani tukio lililopelekea mchezaji huyo kuwaishwa hospitali kwa matibabu zaidi.

Taarifa zimeripoti kuwa, Sergio Aguero anauwezekano wa kustaafu soka kutokana na afya yake kwa sasa. Maamuzi haya yameshafanyika na Barcelona wameshapatiwa taarifa ya tukio hilo kutokea.

Wiki ijayo kunauwezekano wa kufanyika mkutano na wanahabari kuhusu kustaafu kwa Aguero na hapo, taarifa kamili itatolewa na pande zote zinazohusika.


WIKI NJEMA NA CRAZY TIME CASINO!

Unasababu milioni za kucheza unavyotaka ukiwa na mabingwa meridianbet, lakini unasababu moja ya kushinda mamilioni katika kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo maridhawa wa Crazy Time unakupa sababu hizo kuwa mmoja wa washindi leo hii.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe