Tetesi za Soka Barani Ulaya.

 


Tetesi zinasema kiungo wa kati wa Juventus Mjerumani Sami Khedira, 33, ambaye anapanga kuihama klabu hiyo mwezi Januari, amethibitisha kuwasiliana na mkufunzi wa Everton Carlo Ancelotti.

Tetesi zinasema Everton wanafwatilia mwenendo wa mshambuliaji wa Tottenham, Dele Alli anayetaka kuihama klabu hiyo baada ya kupoteza nafasi chini ya Mourinho.

Kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane amesema kuwa kiongo wa kati Mhispania Isco hayuko katika mipango yake ya siku zijazo.

 

Isco

Mshambuliaji wa Venezuela Salomon Rondon, 31, ambaye kwa sasa anachezea klabu ya Dalian Pro, China amehusishwa na tetesi za kuhamia Wolves kushikilia nafasi ya Raul Jimenez aliyepata majeraha.

Paris St-Germain huenda ikamsajili mshambuliaji wa Lyon Mholanzi Memphis Depay msimu ujao lakini Barcelona wamekuwa wakimnyatia kwa muda mrefu kiongo huyo aliye na umri wa miaka 26.

Tetesi zinasema Tottenham wako tayari kulipa Juventus £63.6m kumunua mshambuliaji wa Argentina Paulo Dybala, 27.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Kiungo wa kati wa Lyon Mfaransa Houssem Aouar, 22, ambaye amekuwa akinyatiwa kwa muda mrefu na Arsenal, pia analengwa na Paris St-Germain huku klabu hiyo ikitarajiwa kuanza mazungumzo kumhusu mchezaji huyo hivi karibuni.

Klabu za Leeds na West Ham ni miongoni mwa Ligi ya Primia ambazo zinamsaka mlinzi wa MK Dons Matthew Sorinola.


BURUDIKA NA WANYAMAPORI WAKIIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYA MUZIKI!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, furahia mchezo wa Forest Rock. Hapa utaburudika na umahiri wa wanyapori wanaoimba na kutumia vifaa vya muziki wa rock. Burudika huku ukijiwekea nafasi ya kutengeneza pesa ndefu kupitia Meridianbet!!

INGIA MCHEZONI!

14 Komentara

    Sami mbona kiungo mzuri jaman kwa nini anataka kuiama Juve???

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Juventus msimuachie kijana huyo

    Jibu

    Shukrani kwa taalifa

    Jibu

    Sami ni kiungo makini

    Jibu

    Sami akienda Everton sio mbaya

    Jibu

    Asante kwa taarifa meridianbet #

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Habari hipo vizuri

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Safi

    Jibu

Acha ujumbe