Tetesi za Usajili

Leicester wamempa ofa ya mkataba wa muda mrefu kiungo wa Liverpool Adam Lallana. Muingereza huyo mkataba wake na Anfield unamalizika Juni.

Real Madrid hawajapokea ofa yoyote kumhusu Mshambuliaji wa Wales, Gareth Bale na anatarajia kusalia klabuni hapo kwa mwaka mwingine.

Manchester United na Newcastle wanavutiwa na winga wa Uruguay Facundo Pellistri. Kinda huyo mwenye miaka 18 anachezea Penarol.

Facundo Pellistri

Vilabu viwili vikubwa barani Ulaya vimewasiliana na wakala wa kiungo wa Italia na Chelsea Jorginho kuzungumza uwezekano wa kumnasa.

Jorginho

 

Tottenham wameambiwa wanaweza kumsaini kiungo wa  Barcelona na Brazil, Philippe Coutinho kwa mkopo wa  £8m. Kwasasa kiungo huyo yupo Bayern Munich kwa mkopo.

46 Komentara

    Habari njema Sana izo

    Jibu

    Bora tu walivyompa mkataba mrefu,ili apige kabumbu kikamilifu

    Jibu

    asante meridianbet kwa update

    Jibu

    Jamaa anajua tatizo hana namba Liverpool

    Jibu

    Nawakubali Sana meridianbet

    Jibu

    Duuu Bale amedumu sana Real Madrid #Meridianbettz

    Jibu

    Ni habari njema

    Jibu

    Wajitahid wampate phili ni kiungo mzuri

    Jibu

    Asanteni kwa habari nzuri

    Jibu

    Nihabari njema sana

    Jibu

    Kwa Adam lallana pale Liverpool mwache aondoke, akatafute changamoto nyingine
    #Meridianbettz

    Jibu

    Nihabari zakufurahisha hizo

    Jibu

    lallana namkubali sana ila kwa liverpool pale nafasi hana aende tu kwa Rodgers ila kwa Coutinho kweli kashuka thamani

    Jibu

    Mko vzr kwa taarifa

    Jibu

    hongera sana adam

    Jibu

    liverpool watapunguza kisu, kwa nini wasimuongezee mkataba? bale nae naona nyota yake inazama sasa

    Jibu

    Bale anazidi kushuka kiwango kwa kukaa benchi pale Madrid.

    Jibu

    Namkubali sana Huyu Mwamba Bale

    Jibu

    Nice update #meridianbettz

    Jibu

    Kaishiwa

    Jibu

    Nice update# meridianbet

    Jibu

    ongera lallana kwa kupewa ofa mkataba mrefu na kwa upande wa bale abakie tu apo apo real madrid

    Jibu

    Lallana yuko vizur..lakini kwa riverpool atacheza nafasi gani pale

    Jibu

    Bale anazidi kushuka kiwango kwa kukaa benchi pale Madrid.

    Jibu

    Shukurani kwa taarifa

    Jibu

    akatafute changamoto nyingine

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Akatafute changamoto nyingine

    Jibu

    Meridian mpovizuri kwatarifa

    Jibu

    Kadumu sana Madrid..!

    Jibu

    Tnx meridian kwa update

    Jibu

    Asante kwa taarifa za tetesi#meridianbettz

    Jibu

    Habar njema kwa kutupatia meridian bet tz

    Jibu

    Habari njema Sana

    Jibu

    Noma sana

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    huyo dogo man utd sidhani kama wana,muda wa kumsubili

    Jibu

    Habari njema hiyo.

    Jibu

    Bale anazidi kushuka kiwango#meridianbettz

    Jibu

    Habari njema 👍

    Jibu

    Asante kwa taarifa.

    Jibu

    Atawasaidia sana Leicester kwani bado yupo vizuri

    Jibu

    Habari njema#meridianbettz

    Jibu

    Ni wakati wake mzuri wa kwenda kumalizia Mpira wake kule

    Jibu

    Ni habar njema

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

Acha ujumbe