Hatimaye UEFA imepiga jumla faini ya Pauni Milioni 22 kwa timu sita za ligi kuu ya Uingereza ambazo zilishiriki kwenye sakata la European Super League.

timu sita za premier league ambazo zilishiriki kwenye sakata la European Super League kabla ya baadae kujiondoa kutokana na shinikizo kubwa kutoka kwa mashabiki na wadau mbalimbali zitalazimika kulipa faini ya Pauni milioni 3.5 kila moja.

Taarifa rasmi kutoka UEFA zinadai kuwa timu hizo zitalazimika kutoa kiwango cha pesa ili kujihakikishia kushiriki michuano ya msimu ujao. Timu za Arsenal, Chelsea, Liverpool, Manchester City, Manchester United na Tottenham Hotspurs ndio zilikuwa wahanga.

Mshiko huo mrefu ni kwa timu hizo kulipa premier league lakini watalazimika kutoa kiwango hicho hicho kwa UEFA ili kukiri kutambua makosa waliyofanya ya uvunjifu wa sheria.


WEKA PESA KUPITIA DUKANI MERIDIANBET!

Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.

Weka Pesa Meridianbet

WEKA PESA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa