Kocha wa timu ya Barcelona Xavi Hernandez amesema hajazungumza na Philippe Coutinho kuhusu uhamisho wa dirisha la usajiri mwezi huu januari.
Philippe Coutinho anatarajia kuondoka kwenye dirisha la usajiri mwezi huu kutokan na klabu ya barcelona kutaka kupunguza mzigo wa mishahara walionao ili kuweza kupata nafasi ya kuweza kusajiri wachezaji wapya.

Kulikuwa na mazungumzo kwamba, Xavi alishaongea na Coutinho kuhusu hali halisi ambayo wanayopitia kwa sasa lakini mkufunzi huyo aligoma.
“Sijazungumza na Philippe kuhusu hili, ametusaidia mudaliopata kucheza, kuna watu wapya waningia na wapo wanaondoka , tunasubiri usajiri wa alves pia ili kuweza kubalance mambo.”
Xavi Hernandez
Coutinho alisajiriwa na Barcelona akitokea Liverpool mwaka 2018 lakini hajaweza kuonyeshaa makali yake wala kutulia na klabu hiyo tokea asajiriwe kwa pesa nyingi, pia ni miongoni mwa wachezaji wanaolipwa pesa nyingi ndani ya klabu ya Barcelona.
Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.


