Tulisema sehemu ya kwanza namna umbo la City kwenye pressing lilipelekea Fullbacks wao wapande kusaidia na kuacha nafasi nyingi nyuma
Tutazame bao la Chelsea, mpira ulitoka kwa Kipa Mendy na kumfikia Ben Chilwell ambaye ni wingback, wa kwanza kufika alikuwa ni Kylie Walker kumzuia Chilwell
Hii ikampa nafasi Mason Mount kuwa huru, Chilwell akaweka mpira kwenye free space ambapo yupo Mount, mwanzo tulisema beki za kati za City ziliachwa uchi, ndicho kilitokea kwa John Stones kwenye hii build up ya bao
Kwanini Farhan unampenda sana Timo Werner?
Ni hivi ukiachana na takwimu zake nzuri ambazo ni double digits kwenye mabao na Assists mara ya mwisho akifanya hivyo Hazard ila tazama build up ya lile bao
Wakati Mount ana mpira, Werner alikuwa na Ruben Dias huku Kai akiwa na Zinchenko, ikamlazimu Timo atumie akili ya ziada kupitia decoy runs, akimvuta Dias aende zaidi kwake kisha akimuachia nafasi Kai aweze kupita Kati na akaenda kufunga
Werner ndie alikuwa anawafanya Mount na Kai wawe free, alikuwa anawavuta maadui wote kwake, bado alikuwa mwepesi kukimbia chini ya mstari wao kusaidia defense, ni Mchezaji muhimu sana kwa Chelsea
Kwanini uliamini Jorginho na Kante wataanza?
Kazi ni kama ile siku ya fainali, Kante anaenjoy kuwa box to box, anapenda kufika kila eneo, sasa automatically unahitaji Kiungo mwingine wa kusimama kuweka cover kwa back three, nadhani tulimwona Jinho na vision yake kubwa ya mchezo
Kwanini Farhan haumkosoi Pep kwa uteuzi wa kikosi chake?
Pep akiwa na Man City Hii Hii aliwahi kumfanyia akili kama hii Frank Lampard pale Stamford Bridge, Lampard alipoteana sana, ila juzi haikuwa rahisi mbele ya Tuchels, kwangu simlaumu Pep bali napongeza ubora wa Kocha wa Chelsea, alikuja na plan sahihi
Watu wengi hawafahamu kuwa Pep kwa kubadili kikosi alitaka Tuchels nae aje na mbinu mpya kwakuwa mbinu A Pep alipigwa zote mbili, ila Chelsea ikaja na plan ile ile, hiyo ndio akili ya Pep na ujanja wake, Mwalimu mzuri sana wa kisasa
MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.
Walistahili kupata ubingwa maana walionesha juhudi