Wachezaji wa Chelsea wasiochanja hawataruhusiwa kusafiri na timu kwenda nchini Ufaransa kwenye mchezo wa  ligi ya mabingwa UEFA dhidi ya Lille

Mabingwa wa Ulaya klabu ya Chelsea, watalazamika kuwaacha wachezaji wao ambao hawajachanja jijini London kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa kwenye hatua ya 16 bora, kutokana na sheria za nchini Ufaransa kuzuia watu wasio chanja, baada ya UEFA kukataa kuhamisha mchezo huo kuchezwa kwenye kiwanja neutral.

UEFA
UEFA

Kwasasa haiko wazi ni wachezaji wangapi wamechanja na wangapi hawajachanja, kutokana kuwa jambo la kuchanja ni swala binafsi, lakini kocha wa Chelsea aligusia kuhusu swala hilo na athali zake alinukuliwa akisema, “hizo sheria zitatuletea matatizo ya kutotumia wachezaji wetu muhimu.”

“Wachezaji wanatambua hilo, mbeleni lingewasumbua, yeyote ambaye hajachanja atakumbana na changamoto.”

Chelsea leo wapo falme za kiarabu kwenye mji wa Abu Dhabi kushiriki michuano ya kombe la dunia la vilabu kwenye mchezo wa nusu fainali ya “FIFA Club World Cup” dhidi ya Al Hilal.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa