Makala nyingine

Bondia muingereza Amir Khan ameibuka na kumuonya bondia mwenzake Conor Benn kuhusu pambano lake na Samuel Vargas jioni ya leo. Amir Khan amemwambia Benn kuwa makini akiwa anapigana na bondia …

Jan Blachowicz anasema anataka kupigana na Glover Teixeira pambano lake lijalo kufuatia ushindi wa Jumamosi dhidi ya Israel Adesanya kwenye UFC 259 iliyofanyika Las Vegas. Bingwa wa uzani mwepesi Blachowicz …

Dustin Poirier mpiganaji wa UFC wa Marekani alimpiga kwa TKO Conor McGregor mapema Jumapili katika mechi inayotarajiwa sana ya Mashindano ya Ultimate Fighting ambayo ilimwacha McGregor chini katika raundi ya …

Canelo Alvarez amethibitisha kuwa ana mpango wa kuwa na mapambano matatu hadi manne makubwa mwaka 2021. Alvarez, 30, atapambana mwezi Februari, Mei, na Septemba. Kwa bahati mbaya, Canelo hatakabiliwa na …

Dana Frederick White Linaweza kua jina Geni maskioni mwako lakini kwa taarifa yako huyu ndio njemba ambae anasimamia mapambano makubwa ya masumbwi ya uringo wa nyavu maarufu kama UFC yaani …

Anthony Joshua alipunguza uzito mkubwa kwa pambano lake la mwisho la taji la ulimwengu, lakini je! Atakua na misuli zaidi kwa Kubrat Pulev? kundi la wataalam wametoa Maoni yao. Bingwa …

Huyu ni Cassius Clay, bondia ambaye baadaye akabadili dini na jina na kuwa Mohamed Ali. Cassius Clay au Mohamed Ali, alikuwa bingwa wa masumbwi na maneno ya shombo kuwahi kutokea. …

Hassan Mwakinyo, bondia Mtanzania amesema kuwa alijipanga kuibuka na ushindi mbele ya mpinzani wake Jose Carlos Pazi wa Argentina jambo lililompa ushindi. Bondia Mwakinyo usiku wa kuamika leo  amefanikiwa kuetetea …

BONDIA maarufu Bongo, Abdallah Pazi ‘Dulla Mbabe’ ameondolewa kuzipiga na bondia kutoka DR Congo Alex Kabangu na nafasi yake imechukuliwa na Hussein Itaba. Pambano hilo limepangwa kufanyika Novemba 13  ukumbi …

Joshua ana asili ya Nigeria na Wanigeria wanajivunia nyota huyo, kwani mama yake ni raia wa nchi hiyo. Pia, baba yake ana asili ya Nigeria na Ireland. Kuthibitisha mapenzi yake …

Jana tuliishia pale,Kocha msaidizi wa Timu ya Taifa ya Olimpiki Sarge Johnson alivyomwambia Dave Jacobs kuwa, “Mtoto yule uliyenaye ni mtamu kama sukari”. Hapo ndipo jina la Sugar lilipowakonga nyoyo …

Bondia wa Tanzania, Cosmas Cheka, ameshinda pambano dhidi ya Mmalawi, Hannock Phiri, lililofanyika Uwanja wa Jamhuri, Morogoro, usiku wa kuamkia leo Septemba 14, 2020. Mabondia hao walipigana kwa uzito wa …

Ray Charles Leonard maarufu kama “Sugar Ray”  bondia wa zamani wa Marekani alizaliwa Mei 17, 1956.Nyota huyo alianza kupanda ulingoni  mwaka 1972 hadi alipoamua kustaafu mwaka 1997. Aidha katika mapambano …

Usman amefanikiwa kufikia rekodi ya Khabib Nurmagomedov’s ya Ushindi wa mapambano 12 ya UFC mfululizo bila kupigwa. Wakati Alexander Volkanovski akiendelea kubaki na taji lake baada ya kugawana Alama dhidi …

1 2 3