Beki wa Kimataifa wa Zambia πΏπ², Kabaso Chongo alikuwa na mkutano na Mwenyekiti wa Klabu yake ya TP Mazembe, Moise Katumbi kwen mazungumzo yaliyo zua utata na sintofahamu kwa mashabiki wa Mazembe na wapenzi wa soka la Afrika.

Katika Mazungumzo Beki huyo wa Chipolopolo aliambiwa ana mkataba na Klabu yake ya TP Mazembe ambao utaendelea hadi Disemba 2023. Mchezaji huyo ambaye yupo na Mazembe tangu 2014, alikuwa Akijua anamaliza Mkataba wake klabuni hapo Disemba mwaka huu 2020 ambapo alianza Mazungumzo na klabu nyingine.
Mnamo 2018, Kabaso Chongo aliongeza mkataba wake na TP Mazembe kwa miaka miwili na Klabu hiyo ilitangaza kwamba Mkataba mpya utaisha mwishoni mwa 2020. Kwa kushangaza mlinzi ameambiwa kandarasi yake inaendesha hadi 2023 na sasa kumekuwa na kutokuelewana kati yake na klabu.
Wadau wengi wa soka wamekua na maswali na hasa kutaka kujua jee Huo mkataba unaishia mwaka 2020 ni upi? na unaomtaka aendelee ni upi?, Vyombo vya habari nchini Kongo bado havijaripoti kama kuna muafaka uliofikiwa au Suluhu ya mkanganyiko huo.


Mariam mtandama
Asante meridianbet #kwa taarifa
Hope mwaikuka
Waelewane tu
isha
Duuh kama vipi waelewane tuu ili waepushe migogoro na mambo mengine yaende
Evaluziga
Kama vip waendelee waache migogoro
Mwanaidi
Asanteni meridian kwa makala nzuri za michezo
Elika
Asante kwa taarifa
felister
ina maana uyo mchezaji alisaini mkataba wake bila kujua utaisha lini au anajishaulisha…?
Antony Luseno
Maadam ameonana na boss Katumbi natumai hamna kilichoharibika mambo yamewekwa sawa
Agness
Asante meridian kwa taarifa
Neema juma
Anapaswa aelewane tu migogoro sio mizuri
Rehema
Bonge la makala meridianbet
Tahiya
Kwer hiyo ni sintofahamu
winfrida
daaaaa!!! wafanye waelewani mambo yaishe bila ugonvi
Khadija
Wafanye waelewane mambo yaishe bila ubishi##meridianbettz
Sadicki
Duh uswahili huo! Nilifikiri mambo yapo Bongo kumbe hadi huko!!!#meridianbettz
David Pere
Maisha yanweza yakawa magumu kwake.maana anaishi paspo makubaliano ya mkataba Sasa kweli akiwa uwanjani atacheza mpira au atafikiria kuhusu kupewa mkataba mpya
Zeiyana
Inamaana alisajiriwa bila ya mkataba
Devotha
Asanteni kwa taarifa #meridianbet
Gabriel
Hii ndo tabu ya mameneja wa kiafrika upenda vitu vya haraka hata mikataba yao uwa haieleweki kabisa
Rehema Dickson
waelewane mambo yaishe bila ubishi kila kitu kitakua swa kama wataelewana
Theckla
Wakae chini wakubaliane yaishe
Genia Sikaluzwe
Wache migogoro siyo mizuri
mwakalosi
jambo likishafika kwa katumbi ujue limekwisha
christopher
sio mchezo
Samiah
Migogoro cyomizuri
Ester jackson
Watuweke wazi sisi ndio mashabiki wao
Warda
Basi TP bado wanamtaka ndo mana mkataba umekuwa hauonekani
Amani
Hii ndo tabu ya mameneja wa kiafrika
Emmy cleopa
Ahsante kwa taarifa
Hamidu
Bado ni mchezaji muhimu sana pale tp mazembe .muda si mrefu Mambo yatakuwa sawa.#meridianbettz
Ernest
Vimbwanga katika soka ndo Hivi!!!!!!
JULIANA
Wakae chini waelewane tu
Mwanahamisi
Migogolo sio mizuri
Dorophina
Mambo magumu inabidi wakae wajadili vizuri
Povel
Gud news
Kenani
Hilo ndo tatizo la mikataba ya kiafrica
Shafii
Tatizo ni Nini Sasa
Magdalena
Maelewano ni kitu kizuri sana
Mwajuma
Wavute subra bado mchezaji mzuri
Theonestina
Wasilete janja janja yao Kama bado wanampenda wamuongezee mkataba tu.aendelee kupiga mpira
Salma
Hili ni tatzo kubwa
Adelta
Mgogoro sio mzuri waelewane tu
Asia Abdy
Waache migogoro mambo mengne yaendelee
Lydia Emmanuel Magoti
Sio mchezo
Ester mmakasa
Inatakiwa waelewane bila ya marumbano.
lombo
kikubwa pesa maneno matupu haya saidii
Caroline
Utaeleweka tu
Issa
Waelewane tu
Furahav
Habari nzuri